Nauza iPad mini with Retina display

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,961
2,000
Ipo katika hali nzuri kabisa. Ni karibu mpya kabisa maana nimeinunua mwezi wa nne tu, mwaka huu.

Pia niliiwekea HD invisible shield hivyo hakuna hofu ya kwamba kioo kitakwaruzika.

Mwenye maswali au nia ya kununua, nakaribisha jumbe binafsi (PM) ambako huko mambo kama ya bei na mengineyo tunaweza kuyajadili.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,961
2,000
Why unaiuza?inatumia chipc au nk wifi only?

Kwa kweli sijui kama inatumia chip au Wi-Fi only. But it's the very latest one that came out in November of last year. 16GB.

Mimi kwangu nina Wi-FI na nilipoinunua niliitoa kwenye boksi lake, nikaiwasha tu na kuanza kuitumia na ikafanya kazi bila mizengwe yoyote. Hakuna cha sijui weka nini wala nini.

Huku Bongonyoso mambo ni tofauti. Kila ninayemwuliza hanipi maelezo ya kuridhisha....mara huyu akwambie sijui weka chip...mara huyu akwambie sijui itabidi ifunguliwe iwekewe sijui nini....I mean, what for? Fcuk it. I don't wanna go through all that hassle.

Heri niipige bei tu.
 
island

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
909
1,000

Ina alama nyeusi kwa upande wa juu .. i mean a black ribbon hivi kwa juu .. au ni rangi moja mwanzo mwisho ?
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,961
2,000
Ina alama nyeusi kwa upande wa juu .. i mean a black ribbon hivi kwa juu .. au ni rangi moja mwanzo mwisho ?

Hapana, si rangi moja mwanzo mwisho. Ina trimming nyeusi.

Ina MS Office (Word, Excel, Access, etc.)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom