Sikunyingi sana nim ekuwa nikiwaza kuiuza au kuibinafsisha hii ID yangu kwa mtu ila nilikuwa sijapata wazo naibinafsishaje au nampa nani..... hili bandiko limeniamsha, kumbe nami naweza kuiweka dau ID yangu.
Ilamie sina masharti ya siasa wala mahusiano maana sifungamani na upande wowote. Atakayenunua atakuwa huru kuifanya chochote kile. Kuiacha ife hivihivi naona si sawa.
Nikikaa sawa ntaanzisha uzi wa kuuza ID yangu, asante sanamtoa mada.
Kasie.