hio gari yako ina multiple engines.....taratibu unakuja ninapotaka
karibia na saloon ya professor jay, ni pm namba yako. kesho njoo saa tisa jion ukishuka msasani mwisho niambie nije nikuchukue
Kumbe inawezekana??Mbona juzi ulinishambulia niliposema nahitaji Prado kwa 12ML ndo hivyo ukishikwa auangalii ulinunua bei gani au Market price!
Upya wa gari ni millage sio maneno. Taja kilometa ilizotembea.
Hiyo dharau ya wezekana wewe hata bodaboda huna unakuja hapa kuleta pang'ang'a wewe unajua humu kuna watu waina gani!Kwakuwa watu wanajua hata bei zake wanashangaa hii gari kuwa ya bei chee!yawezekana mbovu pia!!Ikifa central box inazo2 moja 8ml!bado kuzifanyia setting ziwe compatible na system ya gari kutokana na accessories zilizopo katika gari!inajua hapo ina turn bei gani??na siajabu Noble motors wakakwambia hatuna toa cash tuagize!Japo bei haiendani na bei la soko la sasa kwa gari used ya 2013, lakini wengi tumeingia kwenye post hii kimakosa. Maana hatuwezi hata kununua Nissan March et al... Kaka MCHUNGUZI HURU wewe ni mzalendo mtoto wa mkulima au mzungu wa unga? Bei hiyo kaka ni sawa na bure.
na mimi kesho saa tisa jioni nakuja kuiona NJOO NAYO MSASANI MWISHO hapo kona ya kwenda shule ya msingi nitakuona bila kunipigia simu,nitakuja hapo saa tisa
Japo bei haiendani na bei la soko la sasa kwa gari used ya 2013, lakini wengi tumeingia kwenye post hii kimakosa. Maana hatuwezi hata kununua Nissan March et al... Kaka MCHUNGUZI HURU wewe ni mzalendo mtoto wa mkulima au mzungu wa unga? Bei hiyo kaka ni sawa na bure.
Upo sahihi sana ila nadhani hapa tunatofautiana maana halisi ya neno gari jipya, maana kununua mwaka huu si lazima liwe la mwaka huuu, kwa BMW X5 ya 2013 huwezi pata wa bei hiyo.Sasa sijui muuzaji yeye anaelewa nini swala hili ndio maana hakutaka hata kutaja mwaka wa gari kwenye maada yake pale juuHivi kweli upo serious au unaleta utani hapa. X5 ya 2013 kwa milioni 48 za kitanzania? Hebu niambie upo Msasani sehemu gani nikutembelee kesho Alhamisi tarehe 26 December 2013 ili niione hiyo gari.
Tiba
Mkiambiwa mnunue Toyota mnasema gari la being rahisi. Haya sasa utamuuzia nani huo msiba wa x5? Acheni kuiga, nunua gari za kijapani na hutapata shida kuliuza.
swali zuri sana mkuu, maana waswahili pasua kichwa sanawe unayafaham magar yote ya msasani mkuu? huwa unakaa namanga kufaham nan anaendesha gari gani? haupo serious
usiseme watanzania ni masikini....sema mimi ni masikini....sikumbuki nani alisema maneno haya ila naamini alilenga watu kama wewe...
MKuu hamjaleta mrejesho, wewe na Tiba wote mlisema mtaenda kulicheki, au jamaa alitokomea?!!
Mkiambiwa mnunue Toyota mnasema gari la being rahisi. Haya sasa utamuuzia nani huo msiba wa x5? Acheni kuiga, nunua gari za kijapani na hutapata shida kuliuza.
Mkuu ungemwambia hata aje nayo tu labda, things change sana kuna kama hiyo BMW X5 ya 2011nimeshuhudia kwa macho yangu inauzwa kwa mnada AD$27,000 kama tsh 39m last thursday kupitia hapa www.pickles.com.au mnada wa magari ya serikali ya hukuwala sikutaka kupoteza muda....sijaenda coz hakuna 2013 bmw X5 ya tsh 48M....angesema ana shida kama kidney transplant sawa...sio kuleta gari ingine ndio bmw X5 2013 kwa 48m....naamini huyu jamaa ana X5 ya 2001-2004 ila kaileta tanzania miezi sita iliopita ndio anasema 'mpya'
M
Mkuu ungemwambia hata aje nayo tu labda, things change sana kuna kama hiyo BMW X5 ya 2011nimeshuhudia kwa macho yangu inauzwa kwa mnada AD$27,000 kama tsh 39m last thursday kupitia hapa www.pickles.com.au mnada wa magari ya serikali ya huku
Nilinunua mpya kabisa kutoka ujerumani, nimetumia miezi sita tu. nauza milioni 48. kiukweli haipungui bei kabisa kwakuwa naiamini sana hii gari. napatikana msasani, nauza kwakuwa nimeagiza gari nyingine inaingia mapema mwakan. tuma pm kama unahitaji