BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Unamuongelea yule ajuza au nani mkuu?
Ndiyo kamanda
Unamuongelea yule ajuza au nani mkuu?
Kama ya Manji
Aisee,sawa mkuu.Ndiyo kamanda
Aisee,sawa mkuu.
Kubeti ni haram kamanda...nakushauri acha kabisa.
hilo sio gari ni jini sio kwa engine hiyo 3700
Ameen. ...!!Mpaka sasa hakuna mtu alieifika dau langu la million 7, eeeeh mungu tembea na mimi muuzaji afunuliwe imani aweze niuzia.
Mkuu hauwezi kulifanyia hili gari yale mambo yako ya kilingeni likapata mteja fasta tukamsaidia mwana JF mwenzetu?Naona hujaelewa dhumuni... Hapo unatangaza na kuuza mwenyewe.. Mimi sio dalali sorry
Inawezekana kabisa lakini sishauriMkuu hauwezi kulifanyia hili gari yale mambo yako ya kilingeni likapata mteja fasta tukamsaidia mwana JF mwenzetu?
Kwanin Mkuu?Inawezekana kabisa lakini sishauri
Swali zuri sana. Hata mie nilitaka kuuliza maana nina DH.... ya mwaka 2016Namba DCZ si imetoka mwaka 2015...? Imekuaje umetumia miezi 11? Au ulipark baada ya kununua.
Amesema alikua anaendesha, anapaki,Swali zuri sana. Hata mie nilitaka kuuliza maana nina DH.... ya mwaka 2016
Anaweza kuuza fasta lakini pesa atayopata isimsaidie lolote au imletee nuksiKwanin Mkuu?
KaribuNakucheck pm tuyajenge
mimi nilikuwa na carina t.i inakunywa km 7-8 kwa lita.... nikaliuzia mbali sasa hv nataka kitafute vitz ya cc 1000 naskia zinakunywa kl 15-18 kwa litaEngine ya Kawaida sana hiyo mkuu, 5.5km per litre