Bei ya range rover sport

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
1,803
Points
1,500

Osaba

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
1,803 1,500
Naulizia bei ya gari aina ya range rover sport ya mwaka 2005 toka kuinunua nje mpaka kuingiza nchini
Mi nauza ya kwangu nimeinunua kwa malkia sijaitembelea sana hapa TZ kutokana na ulaji wa mafuta uliokithiri(twin turbo charge double carbulator)cc 4800ya mwaka 2006,black in colour kama upo interest nipm maana kwa sasa hivi hadi unaingiza nchin si chini ya 86m na hapo umechakachua sana kodi
 

bitimkongwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
3,056
Points
1,500

bitimkongwe

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
3,056 1,500
Kama unamiliki kisima cha mafuta basi nunua range rover, lakini kama unategemea bei za EWURA tahadhari sana.

Hilo la 4800 cc kwa kilomita moja ni sawa na kilomita tatu za starlet au terios.
 

Forum statistics

Threads 1,390,335
Members 528,167
Posts 34,049,354
Top