Mkuu hata kwenye kununua maandazi huwa tunauliza ya lini haya maandazi?Gari ni used ila bado lipo kwenye ubora wake,wataalam wa magari nadhani mnajua hili gari lilivyo kikazi zaidi.Linabeba mizigo na kupita barabara aina zote bila shida.
Contact:+255 767 386 086.
Karibuni wakuu.View attachment 1179949View attachment 1179950
Ahsante mkuu kwa muongozo.Mkuu hata kwenye kununua maandazi huwa tunauliza ya lini haya maandazi?
Msingi wa hoja yangu ni kwamba boresha Tangazo lako kwa kuweka mfano,
- Km ngapi imetembea (Mileage)
- YOM
- When Imported (Year)
- Haina madeni (Bima etc)
- Ukubwa wa Engine, (CC)
- Iko wapi (Mkoa, Wilaya) kama mtu anataka kuiona physically
- Na mambo mengine ambayo yatamvutia mnunuzi mfano (Gari ilikuwa inatumika na familia kutoka shamba kibaha na Mjini tu), kwamba ilikuwa si ya kupiga Trip ndefuuuuu, haijafanyiwa Overhaul Engine... etc
Gari ni used ila bado lipo kwenye ubora wake,wataalam wa magari nadhani mnajua hili gari lilivyo kikazi zaidi.Linabeba mizigo na kupita barabara aina zote bila shida.
Contact:+255 767 386 086.
Karibuni wakuu.View attachment 1179949View attachment 1179950
Location😀ar es salaam,Tegeta_wazo hill.
[emoji675]Mkuu hata kwenye kununua maandazi huwa tunauliza ya lini haya maandazi?
Msingi wa hoja yangu ni kwamba boresha Tangazo lako kwa kuweka mfano,
- Km ngapi imetembea (Mileage)
- YOM
- When Imported (Year)
- Haina madeni (Bima etc)
- Ukubwa wa Engine, (CC)
- Iko wapi (Mkoa, Wilaya) kama mtu anataka kuiona physically
- Na mambo mengine ambayo yatamvutia mnunuzi mfano (Gari ilikuwa inatumika na familia kutoka shamba kibaha na Mjini tu), kwamba ilikuwa si ya kupiga Trip ndefuuuuu, haijafanyiwa Overhaul Engine... etc
Huna hela weweKuliko kununua gari kuu kuu kwa m14 ni bora ukanunue Rav 4 'mpya' show room!
Kabisa, huyu hana HELA; yaani unafananisha double cabin na RAV 4??? Huyu vipi?Huna hela wewe
kwema mkuu tupe maelezo ya kina
kama jinsi yalivyo kwenye kadi
gari ni ya mwaka gani
engine type
cc
iko mkoa gani etc