Nauza Eicher bus yenye namba CVZ kwa bei nafuu

Liutenant

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
590
899
Wanabodi,

Ninauza basi langu la Eicher lenye namba CVZ.

Kwa sababu ya majukumu mengine ninakosa muda wa kusimamia hivyo sipati mapato ninayokusudia.

Lipo kwenye hali nzuri na bei ni maelewano.

Karibu pm kwa anayependa kupata taarifa zaidi na mnunuaji.

Updates

Nitumie fursa hii kuwashukuru mliokuja PM. Gari imeshauzwa.
 
Wanabodi,

Ninauza basi langu la Eicher lenye namba CVZ.

Kwa sababu ya majukumu mengine ninakosa muda wa kusimamia hivyo sipati mapato ninayokusudia.

Lipo kwenye hali nzuri na bei ni maelewano.

Karibu pm kwa anayependa kupata taarifa zaidi na mnunuaji.

Picha imeambatanishwa

View attachment 528761

Mkuu ni vema ukataja bei ya kuuzia ili mteja ajipange. Nakufuata PM nakuambia nina 2m huoni huo ni usumbufu.
 
Ukitaka kufa kwa presha miliki basi linaitwa Eicher... Hata hivyo hili naona limedumu sana... Hongera kwa utunzaji...
Hahaha, mkuu ni suala tu la kufuatilia service na utendaji wa dereva.

Haya magari yanahitaji mtu mwenye muda wa kufuatilia na ikitokea kifaa chochote kimeharibika then unanunua kipya, usitengeneze kilichoharibika.

Kwa namna hii utaifurahia sana basi ya Eicher.
 
Back
Top Bottom