director Zion
Member
- Jan 2, 2017
- 67
- 30
Ndiyo mkuuMtu chake bhana
Sababu za ww kuuzaHabari wakuu,
nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba dar es salaam maeneo ya kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane)
Mawasiliano yangu ni 0656052164
Nauza kwa sababu nataka kuhamia mkoani...kufuata familiaSababu za ww kuuza
Hapana..nataka kuhama mkoa nifuate familiaMkuu ni madeni?
Ugumu wake ni upi? Lazima uwe na inventory. Vitu gani, vipo vingapi na thamani ya kila kitu.Ni ngumu kukuambia idadi ya bidhaa mkuu mana bidhaa ni nyingi kwa wenyeuzoefu wa biashara ya maduka wanaelewa...ndomana nimeweka namba kwa mwenye kua na interested anitafute
But nilipo kodi nalipa 60,000 na sidaiwi chochote....
Kama unalitaka si uende ukacheki.Ugumu wake ni upi? Lazima uwe na inventory. Vitu gani, vipo vingapi na thamani ya kila kitu.
Hilo ni Jambo basic sana, una simu janja nenda google sheets, hutatumia masaa matatu.
Acha uzembe.
Acha kuendekeza uzembe. Mpe moyo atauza duka lake hata jioni haifiki.Kama unalitaka si uende ukacheki.
Mi silitaki ila nilichofanya nimepost kwenye group za WhatsApp kama support.
Naamini kwenye group zangu za WhatsApp atatokea tu mteja.
#YNWA
Ugumu wake ni upi? Lazima uwe na inventory. Vitu gani, vipo vingapi na thamani ya kila kitu.
Hilo ni Jambo basic sana, una simu janja nenda google sheets, hutatumia masaa matatu.
Acha
Ahsnante sana kwa uwelewa wako na support yangu MUNGU akutunzeKama unalitaka si uende ukacheki.
Mi silitaki ila nilichofanya nimepost kwenye group za WhatsApp kama support.
Naamini kwenye group zangu za WhatsApp atatokea tu mteja.
#YNWA
Ahsnante sana kwa uwelewa wako na support yangu MUNGU akutunzeKama unalitaka si uende ukacheki.
Mi silitaki ila nilichofanya nimepost kwenye group za WhatsApp kama support.
Naamini kwenye group zangu za WhatsApp atatokea tu mteja.
#YNWA
Mkuu picha ya duka nimeweka hapo pamoja na thamani yake hivyo mteja tutaesabiana naye tena kwa sababu duka sijafunga unaendelea kuliuza ila vitu ndo sinunui so thamn ya duka ya awali inapungua kwasababu naendelea kuuza kama kawaidaAcha kuendekeza uzembe. Mpe moyo atauza duka lake hata jioni haifiki.
Kwanini asihesabu mali na kuorodhesha?
Wengine hawaishi Tanzania, wanataka wapate picha tu halisi ya duka hilo kwa sababu inaeleza vitu vingi.
Hahaha dah....haya bhanaKila la heri ila mbona picha ni ya 05/07?
Mauzo kwa siku yana weza fika kiasi gan,Uwe mkweliHapana..nataka kuhama mkoa nifuate familia