Nauza display fridge la ice cream kubwa

Nauza display fridge la ice cream kubwa

Teh teh teh kuna mdeni wangu alikuwa ananidai hela yake kwa rafu sana nikasema wewe tulia tuu nitakukomesha,siku ya kumlipa nikampigia simu mbali kidogo na kwake na kwa vile naujua udhaifu wake nikaenda kukaa kiwanja kikali cha totozi alivyofika tuu nikamtia Serengeti lager kubwa 4 alipomaliza nikamtia mbili baada ya hizo nikampa mzigo wake,mbona karibu ya robo Tatu ya ile hela iliishia pale. Kesho yake mchana ananitafuta kuwa nimemfanyia chuma ulete.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hii mbinu ya kijasusi 😅😅
 
Back
Top Bottom