Nauza display fridge la ice cream kubwa

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,648
Habari,

Nauza diplayed fridge la ice cream
Limetumika ndani ya miezi 4 tu. Linafaa kwa kuuzia ice cream, nyama nk.

Unaweza kulitumia supermarket au hata duka la kawaida.

Halina tatizo lolote lile. Naliuza kwa bei ya laki 9 (900,000)

Linapatikana Bunju B Dar es Salaam

Mawasiliano 0623953036
Karibuni

IMG-20200319-WA0012.jpeg
IMG-20200319-WA0013.jpeg
IMG-20200319-WA0019.jpeg
IMG-20200319-WA0018.jpeg
IMG-20200319-WA0016.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Nauza diplayed fridge la ice cream
Limetumika ndani ya miezi 4 tu. Linafaa kwa kuuzia ice cream, nyama nk.

Unaweza kulitumia supermarket au hata duka la kawaida.

Halina tatizo lolote lile. Naliuza kwa bei ya laki 9 (900,0000)

Linapatikana Bunju B Dar es Salaam

Mawasiliano 0623953036
Karibuni


Sent using Jamii Forums mobile app

Laki saba kama uko tayari nilifate leo leo
 
Back
Top Bottom