Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,973
Source yako ya info ni ya kupiga chini haraka sanasanapMimi nilisikia tu kuwa nikijiweka quarantine siku kadhaa nitapona bila hata kutumia chochote.
Source yako ya info ni ya kupiga chini haraka sanasanapMimi nilisikia tu kuwa nikijiweka quarantine siku kadhaa nitapona bila hata kutumia chochote.
Khaaa yaani kumbe unapigia hesabu hela ya friji? Kuwa na utu japo kidogo babuSasa akishauza friji hela itakuwa na kazi gani? Hebu niwache niendelee na mikakati yangu ya kupambana na Corona
Sasa ulidhani nna mpango wa kununua? Sina hata mtaji wa genge friji ntalipeleka wapi?Khaaa yaani kumbe unapigia hesabu hela ya friji? Kuwa na utu japo kidogo babu
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikupe mimi mtajiSasa ulidhani nna mpango wa kununua? Sina hata mtaji wa genge friji ntalipeleka wapi?
Umeninyima kile ulochopewa bure ndo utanipa ulichokitolea jasho?
Ndio babu, hutaki?Umeninyima kile ulochopewa bure ndo utanipa ulichokitolea jasho?
Tena si kitoto maana naskia akiingia kwenye ulabu laki 9 inakata kwa siku,sasa we muache tu akija tunakunywa ote alafu namkimbia [emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂Umeninyima kile ulochopewa bure ndo utanipa ulichokitolea jasho?
Anataka akamlipie BarBabu unataka pesa ya fridge muipigie Kvant?
Alafu jamaa kaandika laki tisa kisha kwenye mabano akaandika milioni tisa.
Teh teh teh kuna mdeni wangu alikuwa ananidai hela yake kwa rafu sana nikasema wewe tulia tuu nitakukomesha,siku ya kumlipa nikampigia simu mbali kidogo na kwake na kwa vile naujua udhaifu wake nikaenda kukaa kiwanja kikali cha totozi alivyofika tuu nikamtia Serengeti lager kubwa 4 alipomaliza nikamtia mbili baada ya hizo nikampa mzigo wake,mbona karibu ya robo Tatu ya ile hela iliishia pale. Kesho yake mchana ananitafuta kuwa nimemfanyia chuma ulete.Buku kumi ya kwanza itasababisha laki kadhaa zibaki bar.