Nauza shamba la heka 3 kwa Tshs. 900,000 tu

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
441
350
Habari wapendwa poleni na majukumu.

Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi.

Mkoa wa Morogoro
Wilaya ya Kilosa
Kijiji cha Changarawe
Kitongoji cha Kipera Changarawe
Jina la mwenyekiti wa serikali ya mtaa Kassim Nyuki

Shamba lina ukubwa wa heka 3 {70*70}*3 shamba lipo katika hali nzuri halina visiki wala miti mikubwa nilisha lisafisha ila kuna majani tu yaliyo ota kutokana mvua zinazo endelea kunyesha.

shamba ni mali yangu halali kabisa . Hakuna wanyama wa kula mazao ni mahali salama kabisa kwa ajili ya kilimo cha aina zote.

Unawezakuafanya kilimo cha mazao yafuatayo:
*ufuta
*mihogo
*kunde
*mahindi
*mtama
*pia unaweza ukafanya ufugaji kwani maji hayapo mbali ni wastani wa mita 3 kwenda chini unapata maji
*pia unaweza ukafanya kilimo cha miti ya mbao

SHAMBA NAUZA HEKA TATU KWA PAMOJA SAWA NA SH 900,000 SAWA NA 300,000 KILA HEKA.

Mawasiliano: 0688 501810 au 0657 623266

PESA INAHITAJIKA HARAKA.

82364915_493824591337011_7019523819337416704_n.jpg


82364915_493824591337011_7019523819337416704_n.jpg

Attachments:
Karibuni sana!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom