NAUZA COROLLA Tsh milion 3.8

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
COROLLA i 100 ipo ktk hali nzuri ukiichukua ni kwenda kuipiga rangi nyeupe tu ina full AC contact 0712 85 66 82 au 0715 63 70 61 Yombo dovya dsm
 
Bajaj Ni 5.5m Gari 3.8m ni ya wapi? Weka spec zake labda una shida ndo maana unauza
 
gari 3.8M hii ni FOB au!, loh kitakua ni KIGARI na sio gari.
 
Ohhh! shauri zako mkuu, kama unataka kutengeneza uswahiba wa karibu na mafundi kimbilia gari zinazouzwa cheeee kama hii corola
Ndugu yangu ulishawahi kupata matatizo? Mi nlishawahi kuuza shamba nililonunua kwa 5m kwa bei ubwete tu ya 3.5m. Ningefanyaje? Usithubutu kukutwa!! So waweza kuta jamaa anauza kwa sababu ana shida ya hiyo hela....
 
Inaweza kuwa nzuri tu ila ana shida.Mimi pia nna Corola limited AE91 ya 1990,nauza 4.5ml iko poa kabisa
0764 468 469 DAR
 
Back
Top Bottom