ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
Hello wandugu,baada ya kumalizana na shule (UDSM) narejea mkoani kikazi, hii itawafaa wanafunzi zaidi...
Chumba kipo Mwenge Mpakani, (karibu na Jeshini) kina kitanda na godoro lake (5×6), meza ya kusomea, jiko dogo la gesi na vyombo vya ndani!
Chumba kina choo chake, (choo kipo ndani), kodi yake ni 70,000/= kwa mwezi, unalipa kuanzia.
Mpaka sasa kimelipiwa Kodi mpaka mwishoni mwa mwezi April...inafaa zaidi kwa wanafunzi wa UDSM,ARDHI, CHUO CHA KODI, USTAWI WA JAMII, UDSM-KIJITONYAMA, n.k.
Kwa mhitaji njoo pm tuyapange, mnaweza kushea wawili au mmoja ukitaka!
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app