ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
- Thread starter
- #61
Kwa Mwenge sio Bei kubwa kwa "self toilet"Kodi kubwa Sana labda50
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Kwa Mwenge sio Bei kubwa kwa "self toilet"Kodi kubwa Sana labda50
Hahahaha. Volume pleaseKabisa, ni vile sipendi michepuko,ningekuwa nimeshamuacha undergraduate mmoja hapo aendelee kujinafasi...,[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Kina faragha? I mean, unaweza kuingiza pisi hasa zile zenye aibu hata mchana?Kinalipwa kwa miezi mitatu mitatu, ila mimi nilikuwa nimelipia miezi kumi, imabaki miezi 4
Dogo alishauza hii aisee!Kina faragha? I mean, unaweza kuingiza pisi hasa zile zenye aibu hata mchana?
Kumbe alikua ni dogo tena sio wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kina faragha? I mean, unaweza kuingiza pisi hasa zile zenye aibu hata mchana?