Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,045
- 13,483
chukua elfu nne hapa.
huna ndugu ugawe hata kama zawadi? Yaaani umetumia na faida juu lakini bado huridhiki,gawa banaaaa!
bb ngapi?
nilimgawia beki 3 haitaki!! Fundi m1 kasema matengenezo ni 45 inarudi upya kama zamani na ntauza hata 90,000 .
Betri imeisha kabisa ukiichagi inaonesha alama x kwenye ile alama ya betri,sensor imestuck na housing imechoka sana. Ukimeo wake ni huo tu. Unaweza kuitengeneza na kuitumia vizuri tu. Haya nipeni bei ,kama mnadani vile unataja bei mwenyewe.
betri imeisha kabisa ukiichagi inaonesha alama x kwenye ile alama ya betri,sensor imestuck na housing imechoka sana. Ukimeo wake ni huo tu. Unaweza kuitengeneza na kuitumia vizuri tu. Haya nipeni bei ,kama mnadani vile unataja bei mwenyewe.
uliiba wapi? Si umrudishie mwenyewe.
mie nakupa 20,000 nikapambane nayo kuitengeneza,kama poa nipm no yako tufanye biashara
niliokota. Nikairudishe pale pale?
ongeza ten iwe 30.
chukua 30elfu kijana nichek0719525811
niliokota. Nikairudishe pale pale?
chukua 30elfu kijana nichek0719525811