nyemenowa tindamanyile
Member
- Jan 28, 2022
- 42
- 44
Ok! Am interested naomba picha yakeNina hiyo Benzi, ipo vizuri ndio inakaribia klm 125,000 na haijapoteza mfumo wake wa fuel consumption. Kwa anayehitaji kununua na hata kubadilishana tuwasiliane 0629478005
Naitumia muda wote.Ina shida gan
Kweli biashara ni kipaji.Nina hiyo Benzi, ipo vizuri ndio inakaribia klm 125,000 na haijapoteza mfumo wake wa fuel consumption.
Kwa anayehitaji kununua na hata kubadilishana tuwasiliane 0629478005
Mbona imepauka hivyo, kwani ulikua unaoshea omo?
Sasa mkuu imekuwaje Benz nzuri hivyo umeipaka marangi ya bendera ya Jamaica?
Huoo wavu wa kwenye kioo ni nini hiyo?
Mbona imepauka hivyo, kwani ulikua unaoshea omo?
Hii Safari Lager πΊ imenifanya niwe kipofu leo au?? Mbona sioni picha mamaee mimiπ€£π€£Rangi yake sijaipenda!
Una uza gari au unauza maneno?Nina hiyo Benzi, ipo vizuri ndio inakaribia klm 125,000 na haijapoteza mfumo wake wa fuel consumption.
Kwa anayehitaji kununua na hata kubadilishana tuwasiliane 0629478005
Una uza gari au unauza maneno?Nina hiyo Benzi, ipo vizuri ndio inakaribia klm 125,000 na haijapoteza mfumo wake wa fuel consumption.
Kwa anayehitaji kununua na hata kubadilishana tuwasiliane 0629478005
Nina hiyo Benzi, ipo vizuri ndio inakaribia klm 125,000 na haijapoteza mfumo wake wa fuel consumption.
Kwa anayehitaji kununua na hata kubadilishana tuwasiliane 0629478005
ππππππMbona imepauka hivyo, kwani ulikua unaoshea omo?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ na jikMbona imepauka hivyo, kwani ulikua unaoshea omo?