Nauza bata aina ya pekin

Nauza bata aina ya pekin

Nikikuuliza swali langu moja tu sidhani kama utanipa majibu sahihi,nini tofauti ya bata wa kawaida wa elfu kumi na tano na hao wa laki mbili na selasini??maana umesema wana nyama nuingi sana na tamu je sifa ni hiyo tu au kuna ya ziada???
 
Bata kwa 115,000/- kisa ana nyama nyingi na mtamu sana!labda ungeongezea faida nyingine ili nikuelewe mkuu,labda kama vile kwa familia moja tunaweza kumla kwa siku ngapi,ana uwezo wa kutaga mpaka mayai mangapi nk,nk...
Akikujibu hilo swali sijui 😡
 
nipe quote na hao mkuu!hehehe.karibu sana,hao nauza 12,000/- kwa bei ya jumla.jike au dume bei moja.karibu sana mkuu
Unapatikana wapi mkuu?
Napenda sana nyama ya bata.
 
pekin ducks,au bata mwenye nyama na mtamu zaidi,ni bata anayetaga mayai mengi na mwenye faida sana.bei pair ni Tsh 230,000/- yaani dume na jike.tuwasiliane 0713246244.napatikana mbezi beach njia ya masana.karibu
Mkuu hiyo ni typing error au ndo bei halisi?
Unauza bata kwa laki mbili na thelasini au elfu ishirini na tatu?
 
yani bongo tunapenda kupigana bei vitu vya kawaida tu anyway me nlipata bata kma hao kutoka mbugani ni wakubwa na watam bei poa tu
 
Nikikuuliza swali langu moja tu sidhani kama utanipa majibu sahihi,nini tofauti ya bata wa kawaida wa elfu kumi na tano na hao wa laki mbili na selasini??maana umesema wana nyama nuingi sana na tamu je sifa ni hiyo tu au kuna ya ziada???
heheheee,i rearly waste mi time for such mabishano,nipo kushare biashara na kama unataka au ungependa shamba darasa,karibu tena nitakupa ubuyu wa mifugo bureee mkuu.it seems hujui ndio maana ila pole yako na karibu sana mkuu,mimi bado nakukaribisha biashara hiyo na ukipenda shamba darasa karibu.kwa urahisi google pekin ducks upate zaidi.
 
naomba ninunue tafadhali,wapi unapatikana au wanapatikana?
 
yani bongo tunapenda kupigana bei vitu vya kawaida tu anyway me nlipata bata kma hao kutoka mbugani ni wakubwa na watam bei poa tu
share na watu huko mbugani,mbuga gani na wadau waende kuwapata au nao waagizie!.tafadhali hata mimi ningependa kujua hilo mbuga!
 
heheheee,i rearly waste mi time for such mabishano,nipo kushare biashara na kama unataka au ungependa shamba darasa,karibu tena nitakupa ubuyu wa mifugo bureee mkuu.it seems hujui ndio maana ila pole yako na karibu sana mkuu,mimi bado nakukaribisha biashara hiyo na ukipenda shamba darasa karibu.kwa urahisi google pekin ducks upate zaidi.
Hah h,nimeuliza swali hilo maksudi,maana niliwahi uliza saba saba ya mwaka jana jamaa naye alikuwa anuza kuchi bei ni kama hizo hizo nikamuuliza tofuti y kuchi na kuku wa kawaida ni nini nkaambiwa kuchi ana nyama nyingi sana,nkauliza anatoa kilo ngapi jamaa hakujibu aliondoka
 
fikra tunatofautiana,ni sawa mtu aje akuulize leo hii,nini tofauti kati ya lexus na harrier or vits na rav 4?!vyote ni vyombo vya moto sio!?naona jinsi vijana tunavyokosa just a little perspectives kwenye different things.mimi naonde kila maonyesho na naangalia mambo mengi pamoja na watu kama nyinyi ili kuelimisha.at the end of the day utabaki kusema hivyo na kuna wenzako wanaendelea.karibu kaka na ukipenda darasa tupo pamoja
 
bei ya bata yazidi bei ya mbuzi, hii njema sana aisee
usilolijua ni kama usiku wa giza,kuna wenzenu wanapiga hela balaaa nyie mmebaki mkitahamaki tena kwa bei,hapo ndio uone kumbe kuna mambo huyajui.yes bata huyu anabei tena ukija kwa bata bukini ndio utapiga na ukunga!!hahahaha karibu mkuu
 
Mkuu hiyo ni typing error au ndo bei halisi?
Unauza bata kwa laki mbili na thelasini au elfu ishirini na tatu?
naomba kama upo dar,pitia pale makumbusho au ulizia kwa mtu ni shilingi ngapi bata wa aina hiyo?ukijua bei angalia typin error!karibu mkuu
 
nimeipenda hiyo,sasa nenda pale makumbusho au rain bow njia ya mwai kibaki halafu ulizia bei!ukinunua njoo nakupa mifugo bure.its good chaleng n its nice to share ila karibu!
hapo makumbusho matapeli wenzako wanauza bei hiyo... huku kimara, temeke na tabata bei ni below 30,000 ie 20,000, 15,000 and so on...🙁🙁
 
hapo makumbusho matapeli wenzako wanauza bei hiyo... huku kimara, temeke na tabata bei ni below 30,000 ie 20,000, 15,000 and so on...🙁🙁

Uwezi kupata kwa bei iyo musipende kutete oja zenu kwa vitu musivyovijua. Kama ujalizika na bei yake kaa kimya.
 
naomba kama upo dar,pitia pale makumbusho au ulizia kwa mtu ni shilingi ngapi bata wa aina hiyo?ukijua bei angalia typin error!karibu mkuu
Ondoa mipasho kwenye biashara, nimekuuliza ili nipate jibu kwa kuwa wewe ndiye umeandika.
So wewe unauza kwa sababu fulani anauza au kwa faida zako?
 
Back
Top Bottom