Nauza bata aina ya pekin

Nauza bata aina ya pekin

Wanataga mayai mangapi?? Taja.
kwa faida yako na wengine,pekin ducks wanataga mayai mpaka 200 kwa mwaka,sasa kwa hesabu za haraka haraka na wewe chemsha bongo kwa mwezi na kwa msimu wote.karibu mkuu
 
huyu ndiye pekin duck!karibuni wakuu
 

Attachments

  • DCFA52E4-F7D4-414E-8A9C-5A382910D3E3.jpeg
    DCFA52E4-F7D4-414E-8A9C-5A382910D3E3.jpeg
    14.3 KB · Views: 40
Back
Top Bottom