Bata wanauzwa, karibu!

dongbei

Senior Member
Jan 18, 2013
151
140
Salaam ndugu zangu wana jf!

Nauza bata aina ya Muscovy na Pekin, jumla wapo 31. Kati yao majike ni 16 na madume 15. Ni wazuri na wana maumbo makubwa. Majike wote wanataga. Wanafaa kwa vyote as mbegu (kufuga) au nyama (kitoweo). Wanataga mayai mengi. Nawapunguza idadi yao maana wamekuwa wengi.


BEI: inategemeana na size ya bata,
#Majike 18,000 ~ 20,000/= Tsh
#Madume, 20,000~25,000/=

LOCATION: Arusha mjini.

Note: ukichukua zaidi ya 5 kwa Arusha mjini tunafanya free delivery. Mikoani naweza kutumia pia.

Karibu PM kwa namba ya simu.

IMG-20220717-WA0001.jpg
 

Attachments

  • IMG-20220717-WA0006.jpg
    IMG-20220717-WA0006.jpg
    110.6 KB · Views: 18
  • IMG-20220717-WA0000.jpg
    IMG-20220717-WA0000.jpg
    89.9 KB · Views: 19
  • IMG-20220717-WA0005.jpg
    IMG-20220717-WA0005.jpg
    101.5 KB · Views: 19
  • VID-20220717-WA0009.mp4
    11.1 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom