Nautafuta sana huu wimbo.

loliondokwetu

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
1,004
1,075
Mambo vipi wakuu, kwa wale wapenzi wa nyimbo za injili ambao ni wasikilizaji sana wa upendo radio kuna wimbo flani huwa wanaupiga mara kadhaa unaanza na ASUBUI KUMEPAMBAZUKA nadhan umeimbwa na kwaya flan ya kkkt, anaeweza, naomba nisaidiwe niupate.
 
Wanaupiga sana hasa mida ya alfajiri kwenye mida ya saa kumi na moja kuelekea kumi na mbili. Kwenye kipindi cha morning glory.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom