Nautafuta sana huu wimbo.

Nautafuta sana huu wimbo.

loliondokwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
1,376
Reaction score
1,767
Mambo vipi wakuu, kwa wale wapenzi wa nyimbo za injili ambao ni wasikilizaji sana wa upendo radio kuna wimbo flani huwa wanaupiga mara kadhaa unaanza na ASUBUI KUMEPAMBAZUKA nadhan umeimbwa na kwaya flan ya kkkt, anaeweza, naomba nisaidiwe niupate.
 
Wanaupiga sana hasa mida ya alfajiri kwenye mida ya saa kumi na moja kuelekea kumi na mbili. Kwenye kipindi cha morning glory.
 
Bila sauti hapa mzeiya tutaakaa.kesho alfrajiri irekodi audio hata Kwa sehemu tu, Shazam tupo hapa.
 
Back
Top Bottom