Hahahahaa!!! The Boss kwa hayo ya kitaifa zaidi ni kweli mwaka 2011 upishilie mbali!!
Lakini kwangu Mwaka 2011 sitausahau Maishani mwangu ndo mwaka ambao umenionesha WHO I AM!!!
I will miss U 2011!!!
Huu mwaka 2011 nahisi ndo mwaka mbaya kuliko wote...
kwa ujumla wake.......nahisi watu wengi wana hamu na mwaka mpya 2012 uje haraka...lol
hebu tazama haya tu
1.tsunami ya japan wamekufa maelfu
2.machafuko middle east wamekufa mamia...
na mengineyo meengi
hapa Tanzania....
1.gongo la mboto...wamekufa wengi
2.ajali ya boti zanzibar-wamekufa wengi nahisi ndo ajali kubwa kuliko zote
3 na mwisho mvua kubwa kuliko zote tangu uhuru na watu wengi wamekufa dar....
sikumbuki mwaka uliokuwa na mabalaa mengi kama huu
achilia mbali kupanda kwa gharama za maisha na bei za vyakula......
kila mtu unamsikia analalamika masuala ya fedha.....
waliokuwa wanaenda benki once per week sasa wanaenda benki hata mara tatu kwa wiki...
utasema kuna 'mapepo' yanatusaidia matumizi lol...
wanasema odd number kama 11 inakuwaga ngumu na even number kama 12 ni nzuri zaidi
so mwaka 2012 unadaiwa utakuwa nafuu na mzuri kwa wengi......
mimi nakumbuka mwaka 1992 na mwaka 2002 ilikuwa miaka mizuri sana kwangu na kwa ujumla
naamini mwaka 2012 utakuwa mzuri au better kulinganisha na mwaka 2011.....
happy new year woote.....karibu sana 2012............oa oa oa oa
Natofautiana na hiyo imani, mbona mwaka 2010 ulikuwa mbaya sana kwa WaTz walio wengi?? maana ndiyo mwaka kulikuwa na uchaguzi ambao ulitumia Mabilioni ya pesa wananchi walichagua Rais wamtakaye lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikatangaza kitu cha ajabu ambacho bado kipo na ndiyo source ya maumivu ya kiuchumi tuyapatayo.
Mimi tayari niko 2015....
hongera aisee
hata mimi malengo nimekamilisha kwa asilimia zaidi ya 60
so sio mbaya sana personally lakini dahhhh
huu mwaka ulikuwa 'dume' aisee...
Hahaha! Namuona anajiachia sasa hivi kwa sanaaa fanya mpango twende nae GEORGE & DRAGON....Unaona, baada ya kuulizia jana
nimeona bora kumwachia leo
nilikuhurumia maana ulikosa wa kupiga nae story
hadi kumuomba Rejao out ya George & Dragon?
Ulizidiwa aisee
Mimi tayari niko 2015....
Umesahau tulikuwa tunatengeneza TF&AD Space Ship ndio naifanyia majaribio..unatumi space ship ipi?????
Umesahau tulikuwa tunatengeneza TF&AD Space Ship ndio naifanyia majaribio..