Mwaka 2022/23 ulikuwa mgumu sana kwa Wananchi wengi, matumizi ya bidhaa za msingi yalishuka sana ikilinganishwa na mwaka 2021/22

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
Licha ya TRA kufanikiwa kukusanya Kiasi kikubwa Cha Kodi Kwa mwaka 2022/23 kuliko mwaka 2021/22 ila mwaka wa Fedha uliomalizika ulikuwa Mgumu sana Kwa Wananchi Wengi.

Kwa mujibu wa takwimu kutoka TRA,inaonesha matumizi ya bidhaa za msingi Yalipungua ukilinganisha na Mwaka uliotangulia.

Mathalani matumizi ya Baadhi ya bidhaa za msingi yalikuwa kama ifuatavyo.

2021/22
Mafuat 2.8T
Bia 517B
Vinywaji Baridi 124b
Vyombo vya moto 149b
Sukari 94.5b
Maji ya chupa 64.5b
Saruji 65b

2021/22
Mafuta 2.7T
Bia 506b
Vyombo vya moto 97.5b
Vinywaji baridi 121b
Sukari 86.8b
Maji ya Chupa 59.3
Saruji 48b

My Take
NBS ifanye utafiti kubainisha Kwa nini mapato ya serikali Yalipungua?

Je ni Kwa sababu Kodi zilipungua au kuongezwa?

Je ni Kwa sababu watu walikwepa kulipa Kodi?

Je kwenye real terms quantity vs price ilikuwaje? Maana inawezekana quantity consumed ilikuwa kubwa ila mapato yakawa kidogo,why?

Mwisho takwimu hizi ziwe zinatumiwa na watunga sera wanapoandaa Bajeti sio kukirupuka tuu na mavitambi yenu huko.
20230810_072200.jpg
 
Back
Top Bottom