Nausa ndisi miamia

Nausa ndisi miamia

Attachments

  • 1427811237504.jpg
    1427811237504.jpg
    3.5 KB · Views: 224
Ha ha ha! Sipendi wazungu aisee! Halafu mwembamba hivyo ndo sitaki kabisaaa!!! Bora hata angekuwa japo na kibindankoi ningemfikiria!


HAo nenda kwa akina Mwakipesile na Mwankenja huwezi kukuta nsungu ana ikibinda mkoi bana
 
Nyie chekeni lakin mme wake anajidai kaoa demu wa kizungu
 
Mmasai= musungu how are you ?
mzungu= i am fine and you ?
Mmasai= i am good,what do you do ?
Mzungu= acha uboya wewe,sema unataka ndizi za shilingi ngapi siyo unanizingua zingua
 
Back
Top Bottom