Naungana na Zitto, gazeti la Mtanzania huu kweli si uandishi na kwa hakika inakera

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Moja shika sii kumi nenda rudi.
Kama zamani tulikuwa tunapa royalty ya just 4%. Sasa royalty ni 6% na tuna 16% ya free carried shares. Haya ni mapinduzi makubwa mkubali mkatae.
P
Na ndio maana hatutakaa tuendelee,an increase ya 2%unaona kama 80% vile wakati hujapiga mahesabu ya other percentages ambazo wazungu wanabaki nazo,then unategemea rasilimali za madini zitunyanyue kiuchumi?Mayala njaa yako sasa imeshahamia kichwani rasmi.
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Moja shika sii kumi nenda rudi.
Kama zamani tulikuwa tunapa royalty ya just 4%. Sasa royalty ni 6% na tuna 16% ya free carried shares. Haya ni mapinduzi makubwa mkubali mkatae.
P

Mkuu Paskali nafikiri hata JK naye kuna kitu alifanya kumbe naye ilipaswa tumpongeze kama hivi maana kumbe ni bora kupata moja kuliko kukosa.. JK alireview hii mikataba tukapata nyongeza ya mrahaba...

Hongera JPM pia kwa hili..
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Moja shika sii kumi nenda rudi.
Kama zamani tulikuwa tunapa royalty ya just 4%. Sasa royalty ni 6% na tuna 16% ya free carried shares. Haya ni mapinduzi makubwa mkubali mkatae.
P
Wew mzee acha unafiki unajifanya hujui maana ya MAPINDUZI?Kutoka 4 to 6 ni mapinduz usukumani eeeh?
 
Kwakuwa ni mali ya chama hiyo ni moja ya kazi zao kama vile channel 10,radio uhuru hiyo ndiyo kazi yao.
Cha msingi ni kuja na hoja za kuonyesha kuwa wanapotosha umma.
Najua hilo ila katika hii habari kwa hakika wanapotosha sana kwa kuweka heading ya namna hiyo.
 
Asante sana mzee wa mdundiko
Mkurugenzi Mtendaji wa Habari Coperation ambae ndio wenye Mtanzania ni Naibu Waziri wa Kilimo Ndugu Hussein Bashe

Na Mmiliki wa Gazeti hilo ni Ndugu Rostam Aziz
 
Back
Top Bottom