DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,898
Umechukua hatua zipi mkuu ?Usiniulize swali ya uwingi mkuu,binafsi sijakubali
Umechukua hatua zipi mkuu ?Usiniulize swali ya uwingi mkuu,binafsi sijakubali
Unajidanganya kudhani unajua kuliko wengineMtu ukiwa mkweli wa type yangu humu jf ni shida!. We were getting nothing, now we are getting something, no matter how little it is, something is always better than nothing na haya ni mapinduzi makubwa.
Kubalini, kataeni, nitaendelea kuusema ukweli no matter what!.
P
Hopeless journalist, hivi unajua mchakato wa kulipa 6% loyalty ukoje? Tueleze mchakato wa dividend ya 16% shares,Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Moja shika sii kumi nenda rudi.
Kama zamani tulikuwa tunapa royalty ya just 4%. Sasa royalty ni 6% na tuna 16% ya free carried shares. Haya ni mapinduzi makubwa mkubali mkatae.
P
Sijawahi kusema humu kuwa ninajua kuliko wengine, siku zote huwa ninakisema kile ninachokijua, na wanaojua zaidi nao wanasema wanachojua, na msio jua mnapaswa ama kuuliza msichojua au kunyamaza na kufyonza mnachopewa.Unajidanganya kudhani unajua kuliko wengine
If not mad, then you must be nut!. Mtu umenuita hopeless journalist, halafu unamuuliza swali akueleze mchakato wa 16% dividend!. This is madness!.Hopeless journalist, hivi unajua mchakato wa kulipa 6% loyalty ukoje? Tueleze mchakato wa dividend ya 16% shares,
MsomiHuyo Zitto ni mbishi mbishi sana!
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Moja shika sii kumi nenda rudi.
Kama zamani tulikuwa tunapa royalty ya just 4%. Sasa royalty ni 6% na tuna 16% ya free carried shares. Haya ni mapinduzi makubwa mkubali mkatae.
P
Sasa ningetamani mtu/mwanasiasa toka CHADEMA au ACT-Wazalendo (Zitto anafanya kazi kubwa sana, anastahili msaada); aandike makala nzito kueleza yaliyo kinyume na hayo yaliyoandikwa kwenye gazeti hilo, na kuipeleka ichapishwe huko huko.Mkurugenzi Mtendaji wa Habari Coperation ambae ndio wenye Mtanzania ni Naibu Waziri wa Kilimo Ndugu Hussein Bashe
Na Mmiliki wa Gazeti hilo ni Ndugu Rostam Aziz
Katika watu watupu kichwani wewe ni 1 wapo aiseeMnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Moja shika sii kumi nenda rudi.
Kama zamani tulikuwa tunapa royalty ya just 4%. Sasa royalty ni 6% na tuna 16% ya free carried shares. Haya ni mapinduzi makubwa mkubali mkatae.
P
Mkuu Yomboo, kwanza asante, mimi huwa naheshimu mawazo ya kila mtu, hivyo niliisha kugongea like.Katika watu watupu kichwani wewe ni 1 wapo aisee
Mapema asubuhi ya leo,niliweka bandikio hapa JF sambamba na ukurasa wa mbele wa gazeti la Mtanzania nikionyesha kushwangazwa na habari ilioko katika ukurasa wa mbele wa gazeti hilo la siku ya leo kuhusu habari ya kudai eti Magufuli amefanya mapinduzi katika sekta ya madini huku mhariri akitumia makubaliano kati ya serikali na kampuni ya Barrick kuwa ndio kama msingi wa habari yake hiyo.
Binafsi nilipoona hiyo heading tu(sijasoma ndani) na kurudi nyuma kutafakari kilichokubaliwa kati ya serikali na hiyo kampuni, kwa hakika nilichukizwa sana na pia nilikerwa na maoni ya Prof.Ngowi juu ya habari hii na nilikwenda mbali na kusema sitashangaa kusikia na yeye kalamba uteuzi siku zijazo.
Nashukuru kuona pia Zitto nae ameonyeshwa kukerwa na hii habari na amewaponda Mtanzania kupitia mtandao wa twitter.
Zitto umefanya la maana sana na inapaswa ulichokifanya kifanywe pia na wanasiasa wengine na wadau wengine wakiwemo hata waandishi wa habari kwani hii habari kwangu mimi naiona ni exaggeration tupu tena kwa malengo ya kisiaa.
Wahariri na waandishi kwa ujumla saidieni watanzania kujua pande zote za shilingi na muwaache wenyewe waamue na sio kuchukua upande kama inavyojionyesha katika hii habari.
Tweet ya Zito ni hii hapa chini:
Genius!Mkuu Yomboo, kwanza asante, mimi huwa naheshimu mawazo ya kila mtu, hivyo niliisha kugongea like.
Utupu wa kichwani nao ni relative kama lilivyo ganda la mua la jana, kwa mmoja ni uchafu wa kutupa chini, kwa mwingine ni kivuno cha mwezi mzima.
P
Wewe mtoto mdogo humjui Pascal ,kaanza kujulikana wewe hujazaliwa na hahitaji teuzi kwa sababu lifestyle aliojichaguliaTunajua unachokitafuta kupitia JF, ila siku ukifanikiwa,usisahau kumshukuru Melo japo kwa maneno tu maana hii forum yake ndio inakufanya uonekane machoni pa bwana yule.