Naungana na Vladimir Putin kuthibitishia ulimwengu kwamba Yesu alikuwa mtu mweusi

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,692
Mungu sio mbaguzi kiasi icho haiwezekani mitume na manabii wote Mungu alio watuma wawe rangi nyeupe hizo ni fix.

Mungu alimtuma yesu kama kiwakilishi kwa watu weusi kwamba hatuja hachwa nyuma tukapewa mwakilishi wetu.

Kwanini wapindishe ukweli huu mchungu lengo na madhumuni yao ni nini?

Sipo hapa kukashifu wala kudhihaki Dini wala mtume wa mungu bali ni mtazamo wangu katika kuunga mkono ushahidi wa kisanduku cha kale cha mjomba PUTIN.

Ndio maana nchi nyingi zinampinga na kumtolea macho.

PUTIN OPENED AN ACIENT BOX REVELING THAT JESUS WAS BLACK.

_20240325_184510.JPG
_20240325_184630.JPG
_20240325_184740.JPG
 
Jamaa anatafuta uungwaji mkono na Waafrika sasa kafikiria ni gia gani ya kuwakamatia

Kapiga hesabu kaona waafrika wako attached sana na dini na ndio kitu ambacho wako emotionally nacho.

Jamaa akasema yes hapa hapa then poof! "Yesu alikuwa ni mweusi".
 
Kumbuka alikuwa Myahudi, sasa sielewi huo weusi unatoka wapi!

Alichotusisitizia ni kuishi na kutenda maneno yake ndio tutakuwa wafuasi wake

Haya mambo ya rangi ni ya mwili sio ya kiroho na hayana maana yoyote kwa Mungu
 
Sasa kwa mfano Dunia nzima mpaka wazungu wenyewe na Papa na Kila mkristo na asiye Mkristo wakakubaliana kwamba Yesu alikuwa mweusi tutapata faida gani?

Je Afrika ndiyo itakuwa Tajiri na kutokana na Maradhi Ujinga na Umaskini?

Ndyo itamaliza Ufisadi?
 
Awe white, black or yellow does it make a difference?

Ingekuwa mengine huwa mnajibu kwa uwepesi huu, hakika kusingekuwa na mitifuano ya nani Binadamu au lah.

Anyways haya ya yesu kuwa mru mweusi alisema wapi huyu Vladimia Putin?
 
Mungu sio mbaguzi kiasi icho haiwezekani mitume na manabii wote mungu alio watuma wawe rangi nyeupe hizo ni fix.

Mungu alimtuma yesu kama kiwakilishi kwa watu weusi kwamba hatuja hachwa nyuma tukapewa mwakilishi wetu.

Kwanini wapindishe ukweli huu mchungu lengo na madhumuni yao ni nini?

Sipo hapa kukashifu wala kudhihaki Dini wala mtume wa mungu bali ni mtazamo wangu katika kuunga mkono ushahidi wa kisanduku cha kale cha mjomba PUTIN.

Ndio maana nchi nyingi zinampinga na kumtolea macho.

PUTIN OPENED AN ACIENT BOX REVELING THAT JESUS WAS BLACK.

View attachment 2944471View attachment 2944473View attachment 2944474
Bikra Mariam myahudi na Mungu wakazaa mtu nweusi?
 
Sasa kwa mfano Dunia nzima mpaka wazungu wenyewe na Papa na Kila mkristo na asiye Mkristo wakakubaliana kwamba Yesu alikuwa mweusi tutapata faida gani?
Kwani utapata hasara gani?
Je Afrika ndiyo itakuwa Tajiri na kutokana na Maradhi Ujinga na Umaskini?
Ndio unataka kutuhadaa kwamba Mabara mengine ni matajiri, hawana maradhi na ujinga na Umasikini?
Ndyo itamaliza Ufisadi?

Ufisadi upo Afrika peke yake?
Kwanini sheria zimetungwa huko kwenye mabara mengine kushughulikia Ufisadi?

Unataka kusema hata hayo madawa wanavumbua huko kila kukicha ni kwaajili ya Waafrika tu, kwamba wanatupenda na wanaponya watu?

Utajiri ndio nini?
 
Putin ni kama mwanamazingaombwe, unaweza kushangaa mwaka kesho akafanya Abracadabra akakuonyesha Yesu alikuwa Mchina.
 
Jamaa anatafuta uungwaji mkono na waafrika sasa kafikitia ni gia gani ya kuwakamatia

Kapiga hesabu kaona waafrika wako attached sana na dini na ndio kitu ambacho wako emotionally nacho.

Jamaa akasema yes hapa hapa then poof! "Yesu alikuwa ni mweusi".
Umewaza kama nilivyowaza
 
Rangi ya Bwana Kristo wala haituhusu Sisi wakatukumeni,yeye aendelee na vita
 
Back
Top Bottom