humu jumvini kumekuwa kwa ajabu,kweli,hivi mtu anawezaje kufikiria kuleta topic kama hii?hivi huyu anayeleta anafahamu kwamba katiba ya jamuhuri ya muungani wa tz inaruhusu mtu kupata uhuru habari bila pingamizi yeyote?hivi huyu aliyeleta hii topic anafahamu editing inayofanywa na hiyo feeder na kutuletea kitu ambacho sio kabisa?nadhani tumewatuma watu bungeni na tunahitaji kuwasikia wakituwakilisha kwa kuchangia bungeni,ni vizuri pia mkiwa mnajifunga mambo kutoka kwa nchi zingine za dunia ya 3,maana mkisema UK wao wako dunia ya 1,huenda watu wengi wako busy na shughuli zao kiasi kwamba hawana nafasi ya kufuatilia bunge,lakini sisi walio wengi hatuna ajira,ndo maana utakuta wtu asubuhi wanaamka na pool table,sasa hawa unawanyima kuangalia bunge,at the same time hakuna ajira,hivi mnataka waende wapi hawa watu,juzi nimesikia nchi wanasema wanataka iwe ya viwanda wametenga bn 96 kwenye budget haya ndo mambo tunataka kuyasikia live,watueleweshe maana DAKOTE kiwanda kile kimoja ya cement alitumia kiasi cha 12trillion,sasa tunataka kujua hii bn 96 ni ya kitu gani?so msiwe wepesi wa kusahau we need bunge live and we are ready kulipia ikibidi lirushwe live🙁🙁🙁