Oi wataalam wa mambo. Nimeenda famasi kununua dawa ya tonsezi cha ajabu nimepewa AZUMA - 250 .
Kinacho nipa hofu ni kwamba kupitia uzi wa kula kimasihala niliona hizi wadau walitumia kujitibu kisonono na kaswande vipi wakuu huyu dada alie nipa hizi yupo sawa.....?
Au ananitega nikamle kimasiaha.....?