spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Sasa kama haujui kwanini ulireply?Sijui wanaouza
Sasa kama haujui kwanini ulireply?Sijui wanaouza
Huyo mfamasia anataka akuponye fungus kwanza ili umle kimasihara, hzo tonses atadili nazo baada ya mechiOi wataalam wa mambo. Nimeenda famasi kununua dawa ya tonsezi cha ajabu nimepewa AZUMA - 250
Kinacho nipa hofu ni kwamba kupitia uzi wa kula kimasihala niliona hizi wadau walitumia kujitibu kisonono na kaswande vipi wakuu huyu dada alie nipa hizi yupo sawa?