Tafuta mtu akugonge uchovu wote utakata, minyege imekujaa tu hugongwi unategemea usichokechokeSina kachanga sina presha ni nini?
Nakulala kabisa nasikia kulala may be nahitaji kupumzikaSio work fatigue kweli? Pumzisha mwili huo
NImepimwa kuanzia 2023 to juzi hapa sioJaribu kupima VVU
Mwezi gan kama imepita miezi mitatu kapime tenaNi
NImepimwa kuanzia 2023 to juzi hapa sio
Sasa sijawahi kuwa na urafiki wa karibuni nipo single jomba kwa muda mrefuMwezi gan kama imepita miezi mitatu kapime tena
Nimeenda 10 hawaoni kituKwahio unahitaji waataalamu wa diagnosis Kwa kutumia maandishi mawili matatu wakupatie jawabu ambalo limewashinda hospitali waliotumia physicals tests ?
Labda ushauri badilisha hospitali kuhusu inaweza kuwa nini naweza nikakupa majibu 20 hapa ambayo huenda yote yasiwe sawa ila yanaendana na hio hali....
Kama kweli unaumwa mwili na kuchoka mara kwa mara. Baci njia rahisi ni kujifukiza mvuke. Piga nyungu iliotimia utarudi kutuhadisia.Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.
Sina kachanga sina presha ni nini?
Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Wamekwambia huenda ni nini ? (Like I said naweza nikaja na magonjwa hamsini yenye dalili zako ila isiwe hicho) Kwahio ni mwendo wa elimination hospital wamekupima nini au wamekuuliza kuhusu nini na nini hawajakuulizaNimeenda 10 hawaoni kitu