Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
Ww ni mwanaume ulioa miaka 6 iliyopita, wakati unamchumbia mkeo ulikua hn mali wl chcht ulikua unalalia kitanda cha 3 kwa 6 na mke kwao walikua wanamaisha mazuri, mke akakupenda km ulivyo mkaoana, baada ya miaka 2 mkajaliwa mtoto ukaanza vituko MARA HURUDI NYUMBANI mke akikuuliza unamdanganya kaz, MARA MADEMU ZK WANAKU2MIA SMS ZA MAPENZI mke akikuuliza unamgombeza na kumwambia asikufatefate km anatk aende kwao, mkeo analia kl wkt anakulalamikia kw anakupenda anakuomba usimtese huelewi, UKAANZA KUUMWA UWEZO WA KUFANYA MALOVE UKAPUNGUA KIAS KWAMBA UKIWA NA MKEO HUWEZ KUDO MKE AKAWA ANAKUVUMILIA NA KUKUFARIJI, UKAMWONA MJINGA UKAANZA DHARAU MKE AKIKUSEMESHA UNAMJIBU MBOVU AKIULIZA KULIKONI UNAMDUNDA, SK 1 UKAMPIGA SN MKE NA KUMWAMBIA AENDE KWAO AKAKWAMBIA " mume wng ninakupenda sn klk M2 yyt na nimekuvumilia kwa mengi ss bas sitaumia tn sbb yk nipe talaka niende kwetu na sitaki mali yk yyt" kuona hvy mzee mzima ukaondoka nymbani ili kuua soo anzia siku hy mke hn time na ww yy na mwanae KM NI WEWE UNGEFANYAJE??