Naumia sana, Sikujua kama kuna siku nitanyanyaswa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naumia sana, Sikujua kama kuna siku nitanyanyaswa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lonely heart, Oct 30, 2011.

 1. L

  Lonely heart Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarin,Wkt naolewa mume wang hy alikua anamiliki kitanda tu na alikua ni dreva nami nilikua sekretary wa kiwanda cha uchapishaji, kwakweli tumepitia mitihani mingi sn wkt mwngn tulikua tnalala njaa ila nilivmilia, mume wng alikua mfujaji mzuri sn wa hela, ktkn na tabia hy ilibid tukubaliane hela zt zikae kwny account yng, baada ya 5yrs tukawa tumehfadhi hela kias tukanunua lorry (tipa) baada ya 2yrs tukanunua kiwanja na kukijenga, ss tna malorry 3, nyumba 2 na maduka 2. Wkt hatuna k2 wifi zng walikua wapole na walikua wananisihi nimvumilie kaka yao kwny shida na kweli nimepata shida nyingi nyingi sn but nilivumilia, KWAKWEL NI MWAKA WA 3 TK WIFI ZNG (wameolewa wt) WAANZE UISA,WAKIJA WAKIKUTA NIMEVAA NGUO NZURI,KANGA,VIATU WANANIMBIA NIWAGAIE, wakikuta nguo kambani, vyombo vzuri wanabeba nikiwauliza wanasema ni mali ya kaka yao, wanamshawish kaka yao aachane na mm eti nataka kumrithi na kweli mume wng aliwasikiliza akaniambia niondoke niende kwetu kwani mali zt ni zk,
   
 2. L

  Lonely heart Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikaamua kuondoka na kumwambia aniletee talaka yng kwe2, na nikamwambia sitahtaji mali yyt namwachia kila kitu nikaondoka na mwanangu baada ya siku mbili akaja kwetu analia hk kanipigia magoti kw nimsamehe anaomba nirudi nyumbn eti ni ndg zk wamemshawishi anifukuze, kwakweli kwa uchungu nilionao nikakataa katakata, akamtuma baba yk ambaye ananipenda sn pmj na washenga waje kuongea yaishe, nimeshndwa kukubali kurudi kwakwe kwn roho inaniuma sn nikikumbuka matesho niyopata na jins alivyonifukuza, KWAKWELI NAMPENDA SN MUMEWNG LKN SIJUI KM NITAWEZA KUMSAMEHE naumia sn ni heri nife maskini klk kunyanyaswa,
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Pole sana lonely heart. Kama sikosei ulishawahi kusema humu jamaa ni mlevi sana anarudi usiku wa manane. Hilo mliweza kulitatua ama?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Acha mapenzi ya kwenye tamthilia nenda kwa mmeo, ukichelewa anaoa na mwingine. Ndo ujue kwa nini watu wanafanya sherehe za miaka 25 au 50. Mi naona huo ni utoto unakusumbua ukikua utaacha. Basi mama angu aliwahi olewa mke wa pili na akaletwa nyumba hiyo hiyo, lakini hakujali kama hajaona kitu mwishowe yule dada akaondoka mwenyewe. Tena kama ndo ndoa hizi za kikatoliki za hadi kufa bora rudi tu
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  pole sana dadangu... rest assured solution namba wani ya matatizo yako ni wewe kusimama na kusema hapana kwa yale unayoyaamini na taratibu za kisheria na kiimani zipo.... sina hakika kama utapata tangible support hapa ingawa najua hutakosa mawazo mazuri but in the end it is YOU to act and not JF
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mh haya madhila kwa wadad zetu, mpk wakati mwingine mtu unawaza inakuwaje sisi midume without coordination, we end up causing same atrocities to women? mweee!
   
 7. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  rudi kwa mumeo,halafu usiwe mwanamke mwepesi hivyo na hasira za kubomoa hivyo,wifi zako wanachokushinda nini?kugombana na mume/mke ni sehemu ya maisha na hakuna haja wewe kukataa kurudi!
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  unajinyanyasa mwenyewe maana na ww ni shareholder wa hizo mali, kama vipi muandike majina yenu wote wawili. Unajua ni vizuri sana ukifahamu umeolewa na mume wa aina gani, then u play accordingly. Ishi naye kama alivyo ila usimruhusu akupitishie wanawake wake usoni sababu hiyo ni dharau ya mwisho ila mawifi tu wasikusumbue lolote
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Pole sana.
   
 10. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Msamehe mwenzako, mpaka amefikia hatua hiyo ujue amegundua na anajutia kitendo alichokifanya!! Punguza hasira mpendwa na usiwazie sana machungu, najua inauma mno lakini hayo ni mapito tu dear!! Ni ujinga kumuacha mke/mme kwa shinikizo la ndugu hasa ukizingatia kwamba mafanikio mlopata ni kwa ajili ya jitihada zenu nyie wawili, lakini nakusihi ujaribu kumuelewa katika hali ya ubinadamu kwamba amekosea na anahitaji msamaha wako!! Kila la kheri mpenzi...........have them blessings of the LORD GOD!!
   
 11. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  pole sana sis, kuhusu hao mawifi usiogope kuwakemea hizo tabia zao za ajabu ili ionekane we mzuri... Wape live kuwa nao wana nyumba zao wasipende kudandia tu. Pia kubali na urudi kwa mume kama unampenda bado lakn hakisha hizo mali zinaandikwa kwa jina familia ili kuondoa balaa hilo na muonye mumeo asirudie kamwe
   
 12. b

  bia JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kama walivyosema wadau hapo juu,wewe unahitaji kukomaa pale inakobidi,wacha uonekane mbaya,mawifi ki2 gan sema nao ukwel,ukishndwa kuna ustawi wa jamii,mumeo mpe somo kistaarabu,nina shem wangu hapa nilipo ni mkali pale inapobidi,usikubali useme Mungu atamlipa,utakufa kwa msongo wa mawazo,we rudi tofaut,funga kibwebwe mami.Sisi ndo wanaume hujui?ila 2nabadilika
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Wadada wa jf hebu msaidieni mwenzenu kwa msaada wa kisheria....
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa haya mambo kusema kweli tutazidi kukatishana tamaa! Watu mmevumiliana muda wote huo, mnashinda njaa, mnalala chini baada ya mafanikio mwenzako anakutimua kama hakujui vile! Jamani?????
   
 15. L

  Lonely heart Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magari yt kaandika majina yk ila nyumba zt hazina hati kwni viwanja vk nje kdg ya manispaa na kwa muda mrefu nimekua nikimwomba tuwalipe manispaa hela waje wapime viwanja watupe hati ambapo nilimwomba aandike majina yng na yk, anakataa anasema ati ndugu zk watamwona kw kakaliwa na mke, hii si haki ht MUNGU anaona, nimeish naye miaka 10 tk nikiwa na miaka 19 nimemvumilia saana ila kwa kweli basi tu km kn ubaya niliomtendea MUNGU ATAMSAIDIA ATAENDELEA KUMILIKI HY MALI VINGINEVYO MUNGU ATAMLAANI
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kama wewe ni mke halal, u r entitled na asilimia 50 ya Mali mlizochuma mkiwa pamoja, pia Kama mna watoto ni wajb wa baba pia kuchangia malezi. Kaza Uzi dada uskubali kupoteza haki yako kwa sababu yoyote ile.
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Nina wasiwasi ugomvi wenu ni zaidi ya mawifi kuja kuomba nguo na viatu, na kumuambia muachane. Pole, ww ndo unajua mlikopitia, uamuzi upo mkononi mwenu. Lakini kumbuka zile hatua utakazojipimia ndo utakazopata. Hakuna cha mungu kukulipia hapo,washa moto! Mkumbushe mlikotoka na umuambie msimamo wako
   
 18. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Come on baby, stand firm and allow no body to destroy ur empire! Find out, ni nini kinakukera zaidi kwenye hiyo ndoa...ni mawifi au mumeo. Kama ni mawifi zaidi, then kuondoka unawapa ushindi in ur home ground! Tell them, black nd white kwamba hawana haki kwenye nyumba au vitu vya kaka yao bali wana haki hiyo kwenye mali za baba/mama yao! Likewise, mpe condition mumeo kwamba endapo anataka urudi basi awaambie dada zake, tena kunako mchana kweupe kwamba wasijiingize kwenye mambo yao. Achana na ujinga wa kiafrika kwamba ukisema itakuwa kama unagombanisha ndugu....HOWEVER, na wewe jiangalie vilevile kwani experience inaonesha wanawake wengi mkishaolewa mnakuwa na roho ya korosho sana dhidi ya ndugu za waume zenu. Kama huna hilo tatizo (la roho ya korosho) basi huna budi kusimama imara na kutetea ndoa yako. Kwa upande mwingine, kama tatizo kuu ni mumeo basi acha kujilizaliza....mwambie ukweli ua not comfortable with ABC zake na aku-promromise kwamba hatarudia tena....aku-promise hivyo mbele ya kikao. Hayo yakifanyika rudi nyumbani kwako....don't think of urself alone, mfikirie na mtoto wenu.
   
 19. D

  Daady Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mh pole sana binti, i can see it coz am trying to put maself into your shoes! Ingawa ni maamuzi magumu ila nadhani inabidi ukamuone Pastor/Sheikh wako ili akushauri zaidi. Take courage and move on wisely
   
 20. L

  Lonely heart Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namuheshimu na ninampenda sn Mume wng ila nimegundua kw heshma na upendo wng kwake ndo vinamfanya aninyanyase namna hii,
   
Loading...