Naumia sana kubaguliwa na wazungu kila wakati

Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee.

Ni zaid ya kunyanyapaliwa
Ishara ya wajibu wa kuwa Mpenzi wa kwenu, home sweety home na kuhakikisha daima Nchi yako is everything,Ukishamilki spirit ile UTOIBIKA UKo DUNIANI TRUST IT.Mother Land ita Kuprotect na Negative Spirit.Acha kuwa na Maneno Mabaya yoyote juu ya ardhi ya Mababa na mababu zako nayo itasimama na kukutetea wewe popote uendako. Kinyume na hapo Itakukataa na kila uendako utakimbiwa na kuishia kuwa mpweke
 
Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee.

Ni zaid ya kunyanyapaliwa
Mkuu hawakubagui bali wanajibagua.

Wanajibagua kwa vile wazungu wengi ni waoga sana wakimwona mtu mweusi.

Nimekaa Uingereza, Sweden na kugundua kuwa yale walyolishwa toka utotoni ndiyo yana waathiri sana.

Lakini wakigundua uko smart upstairs wanakueshimu.

Kuna siku nikiwa masomoni, Profesa wangu Mwingereza na ilkuwa summer, prof akaniambia: "this year is so hot, we will all turn black"

Kwa juu juu unaweza kufikiri ni ubaguzi, na jibu nililompa lilimlaza hoi kwa kucheka!

Nilimwambia: " Its a good try sir, but it took me only a million years to get this skin"

Profesa nikamwacha hoi kwa kucheka.
 
Mkuu mbona mm Ni mkristo lakini napaki Gari langu msikitini. Huo ubaguzi upo wapi
 
Nakubaliana na wewe.
The holy foundation is on the mountain, and we are here...Afrika!

Na wazungu usiwaonyeshe kuwa babaikia, usifanye kile ambacho watakuona unajidharau. Ongea kwa kujiona na wewe ni mwamba, sio kwa kunyenyekea. Usi tumie neno "sir" ...lina dhalilisha. izungumzie nchi yako na Afrika kwa jumla with pride...sio kuisema tuko ovyo (Hata kama tuna changamoto, tutajikwamua tuu)...

Kama una jina la ki-ukoo au la kiafrika tumia hilo, achana na majina ya kiarabu au kizungu, especially ukiwa huko kwao
 
Unafi Unafikiri yaliyotokea/yatokeayo Congo,Rwanda na Burundi,Nigeria Boko haram,Sudan na Somalia, Afrika ya Kati yale mambo wala watu yatatuacha?, mila na desturi zetu ulozi wa Zambia,Msumbiji,Congo ,Nigeria nk!. Raia waliondaliwa kuishi maisha kama uliyoyashuhudia huko Ulaya kwa nini wasiogope mtu mweusi.
Laiti angetokea Mwarabu angekusaidia pia kwa kubaguliwa...Al Qaeda,Isis nk.
Mwafrika anaonekana kama Mchawi na na Mwarabu kama Mchinjaji watu, wote hawa Ulaya wanaonekana ni wala nyama za watu.
I Remember death of Jamal Kashogi(RIP)
 
Hahaha
 
Ajiandae na huku ccm wananyanyapaa wana chadema ile mbaya tena mkulu, anagawa huduma kwa misingi ya uccm hosiptali zinajengwa kwa oder kwa sababu ccm ameomba.
Maji yanapelekwa kwenye majimbo yao, siyo kubaguliwa kwa amani bali wakikupati kichansi ndugu yangu umeaga dunia. Nyie mlio tembea tembea nchi za watu mnajifanyaga mnajua kudai dai haki utafikia kwenye mdomo wa chupa.
Nikushauri kama ni kubaguliwa seat tu kaa huko huko huku unabafuliwa maisha
Rudi kwenu! Kubaguliwa na wazungu ni mindset
 

Ni kweli US bora sana kwenye racial attempt to make racial equality. Lakini wazungu wana ubaguzi ila walio soma hawako open. Thanks to their constitution.

Mimi nime experience ubagusi mara nyingi tuu nilipokua US. Wachini chini lakini upo. Kilichonisaidia ni kujijua mimi ni nani, uwezo wangu kiakili, na kuto vunja sheria au kuonekana kama mvunja sheria...kuwanyima opportunity.

Na sasa tumekuja gundua kumbe walio mpigia kura Trump ni wale wazungu "wazuri" ...
 
Trump wakati wa 90s baada ya divorce yake alikua ana hang out sana na yule jamaa wa Phat Farms...Russell Simmons.
The New York seens and parties...Sasa jamaa kumbe racist kibao!
 
Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee.

Ni zaid ya kunyanyapaliwa
Wakihama wote wewe jighalagaze jinafasi,sio kosa lao tatizo hawana exposure sio wazungu wote wametembea,wameelimika wengi tu ni primitive. Wazungu waliotembea hawana ubaguzi wana exposure
 
Ni human nature jamii yeyote isiyofanana ubaguana,hata wwe ukikaa na wanyama au ndege watakubagua.
 

Mshenzy huyu hajielewi
 
Vp hali ya ubaguzi finland?. Kwa ujumla ubaguzi ni jambo lenye kuumiza sana moyo. Mi binafsi sipendi kubaguliwa na ndio maana si mpenzi kabisa wa kwenda nchi za wazungu
Hata ndani twabaguana pia,mbona mwawabagua madada wa kazi,Mimi sidhani ubaguzi waweza niathiri na mishe zangu,wakipisha siti nalala kabisa.Tuwavumile tatizo exposure awajatembea,kumbuka kuna wazungu ni primitive awajawahi safiri uamini Africa nzima wanaishi wamasai tu,au wanyama tu hadi wakitembea ukuta tofauti na waliovyokariri.
 
Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee.

Ni zaid ya kunyanyapaliwa
Rudi home bro acha kung'ang'ania kwa watu...... Unataka haki utadhani huko kwenu...... hata wenyewe wanaumia wametumia hela zao vizuri wameendeleza taifa lao wenzao kina sie tunatumia zetu kijinga........ (tunasomesha wachumba)
 
Mkuu umeongea as if unanijua personally.BTW sijawahi kuyabagua makundi ya watu uliyoyataja, wala sijawahi ona au kufikiri kama wanabaguliwa.

Wewe mpaka kufikia ukawataja inaonyesha, una fikra za kibaguzi dhidi yao.

Kwa nini uwataje hao na sio wabunge, mawaziri, maofisa?. Au ungesema tu generally "mbona wewe unawabagua Watanzania wenzio" at least ingemake sense sana.

Your statement has some sort of discrimination to the groups of people you've mentioned.

If you didn't practice it openly, then your mind tells you that they are less valuable.
 

Ubaguzi upo kila mahali.

Hata Tanzania ubaguzi upo.

Nakumbuka mwaka 2007 baadhi yetu humu tulimtetea sana Richa Adhia, Miss Tanzania wa wakati huo.

Yeye ni mwenye asili ya Kiasia na kuna Watanzania weusi ambao hawakufurahishwa na ushindi wake.

Suala la ubaguzi halianzii na kuishia kwa Wazungu tu.

Huo ndiyo ukweli wenyewe.

Hivi, wewe mwenyewe ushajifanyia tathmini ya ubaguzi? Kwamba wewe ni mbaguzi wa rangi au si mbaguzi?

Ni kawaida ya binadamu kuwaona binadamu wengine ndiyo wabaguzi lakini ukianza kuuliza mtu mmoja mmoja kama yeye ni mbaguzi au si mbaguzi, naamini wataokiri kuwa wao ni wabaguzi watakuwa ni wachache sana.

Kuhusu Trump, si wote waliompigia kura ni Wazungu tu. Na hata Wazungu waliompigia kura, si wote ni wabaguzi.

Hata Obama alipigiwa kura na ma New Black Panthers ambao ni wabaguzi wa rangi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…