Naumia sana kubaguliwa na wazungu kila wakati

White chimpanzee sijawahi wasikia lakini kuna nyani/tumbili wale wenye nyuso nyekundu wanaitwa macaque monkey.
Wakihama kqenye sit we lala kabisa au kama unakitabu jisomeee mpaka mwisho wa safari.

Halafu siku nyingine unategeneza false book cover tena kubwa ambayo imeandikwa
your first mother was
a
White Chimpanzee
volume 1.
halafu unakifunua mwanzo mwisho wa safari ili kila aliye kupisha apate ujumbe huo
 
Duh! Nimebaki nacheka tu 🤣

Hata hivyo, it’s all good.

Asante...
Sasa ebu soma na utoe ushauri kwenye hii thread below. Kuna jamaa zangu are looking for few good men...

 
Hata hapa Tanzania tunabaguana kwenye udini,ukabila na kiuchumi Sema tofauti yetu nikwamba tunabagua kimyakimya tofauti na wao ubaguzi wao wanaonesha hadharani
 
Sio wazungu tuu hata mataifa mengine kama ASIA huko India,China & japan na middle east Saudi Arabia kuja mpaka Yemen koote na south America Wale wa Spanish Aisee wanaubaguzi wakimyakimya
 
Ubaguzi sijui wazungu tuliwakoseaga nini

Britannica
Sometimes hii inatokana na sisi kuwa na low IQ,sababu kama umepanda treni sijui ya Mwendokasi {huku kwetu yapo mabasi siku hizi} watu wakahama wote na kwenda kukaa sehemu nyengine wote wakatosha it means mle ndani mlikuwa na seat nyingi za kutosha zilizokuwa wazi kwanini wewe hukwenda kuzikalia ukajipendekeza kwenda kukaa katikati ya kijiji cha wazungu huku wakipanga mipango yao?labda walihisi unataka kuwadukua who knows!

Wewe ndiye unayeanza kuwachokoza kisha unalia wanakubagua.
 
Hii dunia kama wewe ni mwafrika sehemu pekee inayikufaa ni afrika, kama wewe ni wa hapa bongo rudi huku uepukane na huo unyama kama sio ukatili.

Yani kila ukipita unaonekana nyani, hata ukisoma kitabu unaonekana nyani anaejaribu kuwa kama mtu, unaonekana ni laana ya dunia kwasababu hata ulikotoka (Africa) kuna madini na rasili Mali kibao ila viongozi kichwani ni zero na mafiaadi wakubwa na ndivyo wanavyidhani mlivyo (akili 0 + tamaa).

Kwa kifupi wazungu wengi wanatuona takataka, kitendo cha mzungu kuja huku na kucheka cheka na viongozi ama kujifanya mnyenyekevu hapo anatumja maarifa ya vitabu vyao vyeusi vya kumfanya mwafrika ajione anathaminiwa ili kujihakikishia kwamba lengo lake flani la kinyonyaji litafanikiwa.

Kwakweli pesa ni muhimu ila utu ni muhimu zaidi, huko nje ndio kuna pesa ila ni kujitoa kafara kwa maisha ya ubaguzi na kuonekana ni nyani kasoro mkia. Kuna mtu aliwahi kuandaa post humu aliahirisha kutumia lift ya hotelini kwa sababu anavyotaka kuingia kulikua na mama mzungu na watoto wake waliolia kwa uoga wakidhani mwafrika ni nyani, jamaa ikabidi aahirishe kutumia lifti atumie tu ngazi ila bahati nzuri yule mama alikuja kumuomba msamaha
 
Ni mwaka wa 10 sasa nipo nje ya Tanzania
Ubaguzi Kwa baadhi ya maeneo ni changamoto sana hasa Maeneo ya Asia
Na eastern Europe,

Hasa uturuki nilishangaa sana hata kupanda bus ukiwa mwenyewe mweusi kituoni dereva anaweza akapita,
Urusi ndo nimekaa sana kabla ya kwenda Thailand na mwishowe hapa Finland

Ubaguzi sijui wazungu tuliwakoseaga nini

Britannica
Rudi nyumbani kumenoga mkuu
 
Ni mwaka wa 10 sasa nipo nje ya Tanzania
Ubaguzi Kwa baadhi ya maeneo ni changamoto sana hasa Maeneo ya Asia
Na eastern Europe,

Hasa uturuki nilishangaa sana hata kupanda bus ukiwa mwenyewe mweusi kituoni dereva anaweza akapita,
Urusi ndo nimekaa sana kabla ya kwenda Thailand na mwishowe hapa Finland

Ubaguzi sijui wazungu tuliwakoseaga nini

Britannica
Mzungu aliipiga Japan bomu la nyuklia na kuua maelfu lakini cha ajabu wajapan wanawapenda wazungu knoma.

Sisi ambao hatujawakosea chochote wanatuchukia balaa
 
Hata Tanzania ukiwa CHADEMA unabaguliwa wazi mpaka na rais.

Mimi nimejikita Marekani (liberal states), mtu akikubagua in a significant way unampiga lawsuit.

I have seen white people going out of their way to be nice to me.

I am struggling to remember any instance of outright racism.

In fact, in the US, where I live, I am more likely to be discriminated openly by African Americans than white people. African Americans, I am talking about ignorant ones, feel like they have the black immunity to talk shit about your accent and Africa. Whites, especially educated whites, are rather politically correct for that.

It is almost like the whites feel like they have exhausted their quota of racism during the slavery and Jim Crow eras.

The multicultural nature of the US makes it a bit less racist than the monocultural parts of Europe.
Lakini kumbuka hao Africa american ndyo sababu ya wewe kuwepo hpo bila wao kupigania haki za usawa nchini marekani sidhani km ungepata fursa uliyoipata
 
Huwa nikiwaambia watu kuwa US hakuna ubaguzi kama inavyodhaniwa, watu wanaleta ligi.

Mimi sijawahi ku experience ubaguzi wowote ule ulio wa wazi kutoka kwa Wazungu.

Na ninaweza kusema kuwa katika mataifa mengi hapa duniani, ikija kwenye mambo ya ubaguzi, Marekani imepiga hatua ndefu sana katika kuhakikisha inapambana nao kikamilifu.

Mfano mmoja tu: ni nchi gani ingine hapa duniani ambapo ethnic minorities wake wamefanikiwa sana kiasi cha kuweza kushika nafasi zote kubwa za kiutawala, zaidi ya marekani?

Mayors, governors, representatives, senators, president, Supreme Court justices, cabinet secretaries, surgeons, CEOs, billionaire businessmen and women, military generals, chairman of the joint chiefs of staff, university and college presidents, academics, etc.
Ungemalizia kwa kusema 'inategemea na sehemu'

Binamu yangu alisoma chuo Nebraska alikuwa anabaguliwa kiasi kwamba alitamani kuacha chuo.

Hii case inaweza kuwa tofauti na mtu mweusi aliyepo new york au atlanta ambapo watu weusi wapo wengi.
 
Back
Top Bottom