Naumia sana kubaguliwa na wazungu kila wakati

Kumbe we umapaniki?

Ni akili ndogo tu unapaswa kutumia.hata wangekuwa marais 100 wameshapita na hakuwahi chaguliwa mwanamke.je kwa katiba yao inasemaje?ndo matumizi ya akili yanapokuja.hillary clinton alishinda wapi akakatwa?maana usidhani hapa unaongea na form four wenzako. Kushindwa kupo na kama utashindwa ukatafuta kisingizio huo ni uzumbukuku mkubwa sana.

Unajichanganya unaposema hawajitokezi wakati upo mfano wa hillary clinton.na pia hujui why hillary clinton failed.haya mambo yanataka utumie akili kidogo.


 
Mzee I may be young to you in age but not academically, let me tell you about the US and engineered ant-feminism on high rank political spectrum

First of all In the entire country, all 50 states, only five US governors are women, and 24 states never have had a female governor. On top of this, only 25 percent of all state legislative offices are held by women, and only 12 of the 100 largest cities in the country have had a female mayor.


So, think of it this way. If the US population cannot elect women as Mayors, Governors, Senators and Representatives, how can one expect the country to even have an option for a female President? Is this all coincidence? Why they emphasising 50/50 in African government without seeing them practice the preach?

Je huo sio ubaguzi?
 
Does their constitution prohibit women to compete in any election? If they compete and fail that is democracy. They cant be chosen only because they are female.understand this.its very simple and logical.

 
Nadhani wanawatafuta kwa kuwa na tetesi kuwa wameendelea mno kutuzidi Sisi's wa hapa Duniani.Hivyo ni ubora wao unaakisi maslahi fulani na kutarajia ku-gain kitu labda.Vinginevyo wangejua labda hawana lolote la zaidi,si ajabu wasingejisumbua.Labda wangedodosa kama wataweza kuwa soko ikibidi wakawatawale,hawana dog kamwe...too goal oriented.Hawa viumbe wakiwa kwetu hujionyesha kuwa waungwana sana.Ila wengi wao si lolote.Ni viumbe wenye roho zao za baridi kama theluji.
Kama sisi tu wanatubagua hao alien wanaowatafuta watawaweza!
 
Does their constitution prohibit women to compete in any election? If they compete and fail that is democracy. They cant be chosen only because they are female.understand this.its very simple and logical.
LOL simply they don't have that culture and most Presidents come from a pool of Senators, Governors and Representatives. Since the pool of female Senators, Governors and Representatives is so small, however, there is not a great choice to make.

However do you know the gender ratio of the electors for the Electoral College?

Usilolijua litakusumbua!
 
Nadhani nao hali hugo haikuja kirahisi kama inavyoonekana sasa.Ni baada ya Juhudi kubwa sana na kujitolea kukubwa kwa watu kama Malcolm X,Martin Luther Jr na kama hao.Na sababu ya watumwa wa kiafrika kipindi cha biashara ya utumwa kupelekwa zaidi US (nidhaniavyo) kuliko ulaya,wao ndio walipambana mapema na hata "...ku-exhaust their quota of discrimination..." much earlier kama mdau mmoja alivyosema humu.Nadhani pia waafrika wa USA wameweza kudhihirisha thamani,uwezo na umuhimu wao katika jamii hivyo kusaidia sana ubaguzi kupungua sana kulinganisha na kwingine,japo shida inabaki kwa ma-black America dhidi ya native Africans.
I agree with you. Marekani wamejitahidi sana
 
Miaka 100 iliyopita ndio unasema juzi? wazungu wa miaka ile ya 1920 mbona walikuwa wabaguzi sana, kulikuwa na instutional racism, kulikuwa na colonialism, vita kuu ya pili ilikuwa bado, hata universal declaration of human rights nayo ilikuwa bado, so ni kipindi ambacho kilikuwa backward sana, tofauti na sasa hivi ambapo kuna hadi magavana, meya weusi, rais mweusi n.k
Kipindi hicho hata wanamichezo weusi walikuwa hawaruhusiwi kwenye mashindano

Sema sasa hivi wamebadilika na wamechangia kutubadilisha sana pia Waafrika kuhusu usawa na haki za binadamu, kama sio wao wanawake pia Afrika ingekuwa ngumu kushika madaraka, haya mambo ya kuwawezesha wanawake, kwenye elimu, siasa, sijui viti maalum, haya yote sio utashi wetu, mzungu katulazimisha, tukakubali ili kupata misaada
 
1920 ni 20th century
Tayari dunia ilikua kwenye industrialisation age long mileage

1920 katika umri wa US democracy ni 28th president serving Kwahiyo US inayo jumla ya marais 28 ambao hawakuchaguliwa na wanawake! Democracy ya marais 28 wewe unaiona ndogo?


Hivi unajua mauji ya kuua vikongwe huko kanda ya ziwa kisa wana macho mekundu wakishukiwa kwamba ni Wachawi hata wazungu wameyafanya sana kwao? Hata wao wameua Wachawi sana tena mauaji yalikua yakiratibiwa formally

Nimekuambia bado Unayo exposure ndogo kuwahusu wazungu, wewe unafikiri wazungu unawaona Kanisani kwenu ndio wazungu wote wapo hivyo?

Sio kila mzungu unaemuona kijijini ni padre!
 
Asante sana kwa ufafanuzi ta least nimepata picha
 
Safii nimependa ulivyo tufumbua macho
Najihis kama tayari nimeshafika state
 
Hizo mbao huwa haziozi au kuliwa na mchwa baada ya muda?
 
Sijaelewa hata ulichoandika!
 
Hizo mbao huwa haziozi au kuliwa na mchwa baada ya muda?

Zipo imara sana. Na nyumba zake [mbao] huwa zinadumu kwa muda mrefu.

Sina hakika na aina za mbao zitumikazo.

Ila naamini huwa zinakuwa ‘treated, kabla hazijatumika kwenye ujenzi.

Na sijawahi kusikia tatizo la mchwa kuzila hizo mbao.

Kuna makampuni mengi sana ya pest control ambayo moja ya kazi yake ni kupambana na mchwa.

 
Mleta uzi unanikumbusha kipindi nipo newyork,nilikuwa nakaa apartment moja na watu weupe walikuwa wabaguzi wale wewe acha tu...sasa hivi nipo uk angalau kidogo,nataka kwenda Germany sijui napo kuna ubaguzi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Njoo chalinze tule machungwa acha kulalamikia miji ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…