KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,477
- 2,361
Ila ukirudi Huku kwetu unatuita wa uswhilini ukiwa huko unajifanya mwenzetu .Mtu mweusi yupo salama Afrika tu.Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee.
Ni zaid ya kunyanyapaliwa