Naumia sana kubaguliwa na wazungu kila wakati

Ni mwaka wa 10 sasa nipo nje ya Tanzania
Ubaguzi Kwa baadhi ya maeneo ni changamoto sana hasa Maeneo ya Asia
Na eastern Europe,

Hasa uturuki nilishangaa sana hata kupanda bus ukiwa mwenyewe mweusi kituoni dereva anaweza akapita,
Urusi ndo nimekaa sana kabla ya kwenda Thailand na mwishowe hapa Finland

Ubaguzi sijui wazungu tuliwakoseaga nini

Britannica
Pole,Ila Covid 19 imeleta usawa
 
Nilisoma Canterbury Christ Church,Britain sijawahi ona hilo.China na India ni hataree
 
Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee.

Ni zaid ya kunyanyapaliwa
Mimi wakihama nakunja nne maana wameniachia nafasi yakutosha, afu nafurahia mandhari na vitu vinavyokimbia kurudi nyuma. China ni balaa dereva Taxi anakataa kukubeba kisa mweusi.
 
Hahaa, ukitaka kujua watu weusi walivyo, tazama jinsi wanavyowa treat wanawake na kuwasema.
Mtu anaanzisha mada na kusema wanawake sijui akili zao zipo finyu na anaungwa mkono na watu wengi tu,
Kisa alisalitiwa na mwanamke, generalization ya ajabu

Watu gani wanasifia wanawake duniani ?
 
Mbona hata hapa Tz tunabaguana kwa misingi ya:

Kidini
Kijinsi
Kikabila
Kisiasa
Kiuchumi

Binadamu wote ni wabaguzi.
 
Binadamu wote ni wabaguzi katika namna moja ama nyingine!

Ni asili ya binadamu kuwa mbinafsi na mwovu.

Tunajitia tia unafiki tu lakini kiuhalisia wengi wetu ni watu wabaya sana!
Au mtu mweusi aliyeishi Ulaya au USA aje bongo kisha aibiwe na kibaka kwa bahati mbaya tu atatukana wabongo wote

Hata mtu aliyekulia Dar akaenda Kijijini huko labda akala chakula tumbo likachafuka kwa bahati mbaya
atatukana watu wa mikoani Ni wachafu, wanaoishi Kama wanyama
 
Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee.

Ni zaid ya kunyanyapaliwa
Ungefungua dirisha kisha ungetema mate mshenz mlipe ushenz wazungu wanajionaga smart sn na wanatuchulia black ni km choo vile
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee.

Ni zaid ya kunyanyapaliwa
Pole vumilia tu mpaka utakapotoka kwao. Hata UINGEREZA ni hivo hivo hasa kwa vijana. Nilikuwa na Mzimbabwe akabisha si wabaguzi nikafanya jaribio kila mmoja akae kiti chake. Hakuna mzungu aliyekuja kukaa ktk viti vyetu mpaka tukafika chuoni. Akitokea labda mzee.Hko ilikuwa sehemu ya East Anglia NORWICH
 
Hizo mbao huwa haziozi au kuliwa na mchwa baada ya muda?
Ulishaona nguzo ya umeme iliyoliwa na mchwa ama mdudu yeyote hata baada ya kufukiwa ardhini?

Huwa inalowekwa kwenye dawa kali kwa siku kadhaa kabla ya kutumika, na nyumba nyingi za wazungu zipo hivyo

Unaweza kwenda Arusha maeneo ya uzunguni walipoishi wajerumani na waingereza kwa zaidi ya karne sasa lakini utakuta nyumba za Mbao au za blocks ila zilizopauliwa kwa Mbao lakini ukitoa zile Mbao ni unafuta vumbi tu hazijatafunwa.

Mbao zilizolowekwa na dawa ni bei ghali kweli na nyingi zinauzwa kwa 2*2 au 4*2 ya kupaulia.
 
Back
Top Bottom