Naumia sana kubaguliwa na wazungu kila wakati

Kumbe we umapaniki?

Ni akili ndogo tu unapaswa kutumia.hata wangekuwa marais 100 wameshapita na hakuwahi chaguliwa mwanamke.je kwa katiba yao inasemaje?ndo matumizi ya akili yanapokuja.hillary clinton alishinda wapi akakatwa?maana usidhani hapa unaongea na form four wenzako. Kushindwa kupo na kama utashindwa ukatafuta kisingizio huo ni uzumbukuku mkubwa sana.

Unajichanganya unaposema hawajitokezi wakati upo mfano wa hillary clinton.na pia hujui why hillary clinton failed.haya mambo yanataka utumie akili kidogo.

Usipaniki mzee hivyo utakufa na kiharusi

So 45 presidents Vs 5 presidents

Katika michakato yote ya kugombea 45 rows zote haijawahi kutokea mwanamke kagombea? Hillary Clinton alishinda then ikawaje?

Katika nchi zote zilizoendelea zimeshapata kiongozi wa juu wa kike ila Marekani tu ndio hawajitokezi?
 
Kumbe we umapaniki?

Ni akili ndogo tu unapaswa kutumia.hata wangekuwa marais 100 wameshapita na hakuwahi chaguliwa mwanamke.je kwa katiba yao inasemaje?ndo matumizi ya akili yanapokuja.hillary clinton alishinda wapi akakatwa?maana usidhani hapa unaongea na form four wenzako. Kushindwa kupo na kama utashindwa ukatafuta kisingizio huo ni uzumbukuku mkubwa sana.

Unajichanganya unaposema hawajitokezi wakati upo mfano wa hillary clinton.na pia hujui why hillary clinton failed.haya mambo yanataka utumie akili kidogo.
Mzee I may be young to you in age but not academically, let me tell you about the US and engineered ant-feminism on high rank political spectrum

First of all In the entire country, all 50 states, only five US governors are women, and 24 states never have had a female governor. On top of this, only 25 percent of all state legislative offices are held by women, and only 12 of the 100 largest cities in the country have had a female mayor.

So, think of it this way. If the US population cannot elect women as Mayors, Governors, Senators and Representatives, how can one expect the country to even have an option for a female President? Is this all coincidence? Why they emphasising 50/50 in African government without seeing them practice the preach?

Je huo sio ubaguzi?
 
Does their constitution prohibit women to compete in any election? If they compete and fail that is democracy. They cant be chosen only because they are female.understand this.its very simple and logical.

Nadhani wanawatafuta kwa kuwa na tetesi kuwa wameendelea mno kutuzidi Sisi's wa hapa Duniani.Hivyo ni ubora wao unaakisi maslahi fulani na kutarajia ku-gain kitu labda.Vinginevyo wangejua labda hawana lolote la zaidi,si ajabu wasingejisumbua.Labda wangedodosa kama wataweza kuwa soko ikibidi wakawatawale,hawana dog kamwe...too goal oriented.Hawa viumbe wakiwa kwetu hujionyesha kuwa waungwana sana.Ila wengi wao si lolote.Ni viumbe wenye roho zao za baridi kama theluji.
Kama sisi tu wanatubagua hao alien wanaowatafuta watawaweza!
 
Does their constitution prohibit women to compete in any election? If they compete and fail that is democracy. They cant be chosen only because they are female.understand this.its very simple and logical.
LOL simply they don't have that culture and most Presidents come from a pool of Senators, Governors and Representatives. Since the pool of female Senators, Governors and Representatives is so small, however, there is not a great choice to make.

However do you know the gender ratio of the electors for the Electoral College?

Usilolijua litakusumbua!
 
Nadhani nao hali hugo haikuja kirahisi kama inavyoonekana sasa.Ni baada ya Juhudi kubwa sana na kujitolea kukubwa kwa watu kama Malcolm X,Martin Luther Jr na kama hao.Na sababu ya watumwa wa kiafrika kipindi cha biashara ya utumwa kupelekwa zaidi US (nidhaniavyo) kuliko ulaya,wao ndio walipambana mapema na hata "...ku-exhaust their quota of discrimination..." much earlier kama mdau mmoja alivyosema humu.Nadhani pia waafrika wa USA wameweza kudhihirisha thamani,uwezo na umuhimu wao katika jamii hivyo kusaidia sana ubaguzi kupungua sana kulinganisha na kwingine,japo shida inabaki kwa ma-black America dhidi ya native Africans.
I agree with you. Marekani wamejitahidi sana
 
When were American women allowed to vote?

The 19th Amendment to the U.S. Constitution granted American women the right to vote, a right known as women’s suffrage, and was ratified on August 18, 1920, ending almost a century of protest. In 1848 the movement for women’s rights launched on a national level with theSeneca Falls Convention organized byElizabeth Cady Stanton and Lucretia Mott. Jun 6 2019
Miaka 100 iliyopita ndio unasema juzi? wazungu wa miaka ile ya 1920 mbona walikuwa wabaguzi sana, kulikuwa na instutional racism, kulikuwa na colonialism, vita kuu ya pili ilikuwa bado, hata universal declaration of human rights nayo ilikuwa bado, so ni kipindi ambacho kilikuwa backward sana, tofauti na sasa hivi ambapo kuna hadi magavana, meya weusi, rais mweusi n.k
Kipindi hicho hata wanamichezo weusi walikuwa hawaruhusiwi kwenye mashindano

Sema sasa hivi wamebadilika na wamechangia kutubadilisha sana pia Waafrika kuhusu usawa na haki za binadamu, kama sio wao wanawake pia Afrika ingekuwa ngumu kushika madaraka, haya mambo ya kuwawezesha wanawake, kwenye elimu, siasa, sijui viti maalum, haya yote sio utashi wetu, mzungu katulazimisha, tukakubali ili kupata misaada
 
1920 ni 20th century
Tayari dunia ilikua kwenye industrialisation age long mileage

1920 katika umri wa US democracy ni 28th president serving Kwahiyo US inayo jumla ya marais 28 ambao hawakuchaguliwa na wanawake! Democracy ya marais 28 wewe unaiona ndogo?

Hivi unajua mauji ya kuua vikongwe huko kanda ya ziwa kisa wana macho mekundu wakishukiwa kwamba ni Wachawi hata wazungu wameyafanya sana kwao? Hata wao wameua Wachawi sana tena mauaji yalikua yakiratibiwa formally

Nimekuambia bado Unayo exposure ndogo kuwahusu wazungu, wewe unafikiri wazungu unawaona Kanisani kwenu ndio wazungu wote wapo hivyo?

Sio kila mzungu unaemuona kijijini ni padre!
 
Asante sana kwa ufafanuzi ta least nimepata picha
Maisha ya Marekani niliyasoma sana kwenye Newsweek na kuyafuatilia sana kwenye movies na TV shows kabla ya kuja huku, kwa hivyo, hilo lilisaidia kutoshangaa sana.

Ila kuna mengine bado nilishangaa tu.

Kwa mfano.

Ukienda restaurant, kinywaji (soft drinks) unalipia mara moja, lakini ukimaliza kunywa unaruhusiwa kurudia kujaza kadiri unavyotaka.

Dukani ukiona bei ya kitu, bei iliyowekwa si hela utakayolipa kununua kitu, bei iliyowekwa ni kabla ya mahesabu ya kodi. Kujua bei halisi mpaka upige mahesabu ya kodi.

Watu kutupa vitu kama samani za ndani kwa sababu wanataka kubadilisha tu.

Vyoo vya public kuwa wazi chini. Bongo tunasema kuna vyoo vya passport size, Marekani vyoo vya public chini viko wazi mtu akipita nje anakuona miguu.

Size za vyakula ni kubwa sana, mtu unapimiwa chakula kama cha kula watu wawili.

The sheer number of brands was at first overwhelming. Mtu umejitokea Bongo ushazoea uchaguzi ni kati ya Blue Band na Tan Bond, na hiyo Tan Bond yenyewe haionekani, au Omo na Foma, halafu unaenda supermarket unakutana na detergent brands 20 tofauti, butter brands 20 tofauti mpaka unashindwa kuchagua.

Ordering food was a big culture shock, mtu anataja mazagazaga kama kumi tofauti yote yaingie kwenye burger, wewe mbongo siku za kwanza huyajui inabidi ufanye homework.

Nyumba nyingi zimejengwa kwa mbao na ku assemble pre fabricated materials, nafikiri kwa sababu ya hali ya hewa. Kutoka sehemu ambayo watu wamejenga nyumba kwa matofali ilikuwa tofauti sana.

Madeni, kila mtu ana credit card na madeni. Kila mtu ana mortgage nayo ni deni.Madeni ni kama lifestyle, ukiwa huna madeni watu wanakuona una tatizo, huna credit nzuri labda.

Watoto wadogo wanauliza maswali kama watu wazima, na wanategemea uwajibu seriously.

Kuweza kupata kazi na kupanda cheo bila kutumia mjomba wala shangazi, kwa juhudi zako tu kazini.

Ujinga wa Wamarekani wengi kuhusu Jiografia. Kuna watu hawajui hata Canada na Mexico ziko wapi. Kuna dada mmoja ana kazi nzuri tu benki kubwa, alikuwa anafikiri Mexico iko kaskazini ya Marekani na Canada ipo kusini. Ukisema unatoka Tnzania, East Africa, wanakuuliza, is that near Nigeria?

Ukubwa wa nchi. Marekani ni nchi kubwa, hili nililijua, lakini ni jambo moja kuangalia kwenye ramani, jambo tofauti kutembea kuzunguka nchi. Ukizoea vinchi vya ulaya, uki drive mara umertoka Belgium, kidogo tu ushaingia France. Marekani unaweza kuendesha siku nzima bado upo state moja tu hujaimaliza.

Watu wa nje kutoka kila nchi wanavyoweza kuja na kufanya kazi bila mgogoro mkubwa sana. Ingawa hili linabadilika siku hizi utawala wa Trump.

Nchi moja, lakini sheria kibao zinatofautiana kwa jimbo. Jimbo hili linaweza kuruhusu kuvuta bangi, lingine haliruhusu. Jimbo hili lina income tax, lingine halina.

Mambo mengi sana.
 
Umeniwahi!

Nilikuwa najiandaa kuanzisha uzi wa mambo yaliyonishangaza kuhusu Marekani.

Baadhi ya hayo mambo umeyataja. Na tayari nilikuwa nishapiga na picha kama vielelezo.

1. Vyoo vya sehemu za umma. Iwe kazini, shuleni, mall, migahawani, uwanja wa ndege, nk, si tu viko wazi kwa chini [ambapo mtu unaweza hata kutambaa ukaingia na kutoka], pia vina nyufa ambazo mtu aliyeko kwa nje anaweza kumwona aliyeko ndani na akifanyacho. Mpaka leo hii sijaelewa kabisa sababu ya hilo.

Hebu ona hivyo vyoo hapo! Mtu ukiwa unajiachia haja kubwa mtu anaona kabisa viatu vyako na hata suruali yako kama umeivua hadi chini.

View attachment 1286869
Ona huo uwazi hapo chini! Yaani hakuna faragha kabisa. Mi ndo maana huwa najizuia kwenda haja kubwa kwenye sehemu za umma. I’ll hold it till I get home.

View attachment 1286870View attachment 1286872

2] Nyumba za mbao! Nyumba nyingi sana zimejengwa kwa mbao.

Hata ukiona nyumba inayoonekana ni ya matofali ya kuchoma, mara nyingi hayo matofali huwa yanapachikwa kama urembo tu.

Kutumia mbao kuna faida zake. Moja ni gharama. Kujengea mbao gharama yake ni nafuu kushinda kutumia matofali ya simenti.

Pia, kutumia mbao kunafanya ‘remodeling’ iwe rahisi zaidi. Kukata kuta za mbao na kuongeza chumba au kupanua chumba au kubadili mwonekano ni rahisi zaidi kushinda kuvunja ukuta wa simenti!

View attachment 1286877

Mfano wa nyumba yenye front brick exterior, hapo juu.

Hapo chini ni ndani. Mbao kuanzia sakafu hadi kuta.

View attachment 1286879

Ndani ni mbao tu.

View attachment 1286881View attachment 1286882View attachment 1286883

Mengine ninayoweza kuongeza ni:

Matangazo ya mawakili. Tanzania nasikia ni marufuku kwa mawakili kujitangaza.

Kwenye sehemu nyingi Marekani, hilo halipo. Matangazo ya mawakili yapo kila sehemu. Yapo kwenye mabehewa ya subway trains, kwenye mabasi ya usafiri wa umma, mabango ya barabarani na kwingineko.

View attachment 1286892

Hapo juu ni tangazo la mawakili wanaohusika na talaka za ndoa za watu. Ona jinsi walivyo wabunifu katika kucheza na lugha!

Bado huwa sielewi kwa nini Tanzania ni marufuku kwa wakili kutangaza huduma anazotoa madhali hasemi uongo.

Jingine lililonishangaza sana ni urahisi wa watu kumiliki magari.

Mfano, shule, high school na vyuo, zikiwa in session, parking lots huwa zinajaa mno.

Na mengi ya hayo magari ni ya wanafunzi. Wanafunzi wa sekondari na vyuo wana magari.

Kumiliki gari siyo ishu kabisa.

Jingine ni sheria tofauti tofauti kati ya jimbo na jimbo na hata ndani ya miji iliyopo katika jimbo moja!!

Kuna majimbo hayana state income tax. Na kuna majimbo state income tax yake ni balaa.

Mpaka miaka michache iliyopita, kulikuwa na walau majimbo mawili yaliyokuwa yanakataza uuzwaji wa pombe siku za Jumapili. Indiana na Georgia.

Georgia najua wamelegeza hilo sharti siku hizi. Uamuzi umeachwa kwa local jurisdictions.
Safii nimependa ulivyo tufumbua macho
Najihis kama tayari nimeshafika state
 
Hizo mbao huwa haziozi au kuliwa na mchwa baada ya muda?
 
It depends sababu kuna ubaguzi kwenye cases tofauti mfano kuna dada flani aliolewa na mzungu huko Scandinavia, waliondoka bongo na kuamishia Makazi mapya huko

Huyo dada alipata ujauzito huko ulaya, kikawaida wakati mtu ni mjamzito anaweza kupata huduma ya kuhudumiwa na daktari kwa kufatwa nyumbani

Mmewe yule dada kampigia simu Dr wa kike, kaongea nae fresh kuhusu ujauzito wa mkewe, wamepanga fresh siku ya kuja kumuhudumia, yule Dr alikuja akamuhudumia siku ya kwanza, routine ilipofika arudi tena kumuhudumia yule mbongo alimblock kabisa na wala hakutaka mawasiliano nao tena katu katu
Sijaelewa hata ulichoandika!
 
Hizo mbao huwa haziozi au kuliwa na mchwa baada ya muda?

Zipo imara sana. Na nyumba zake [mbao] huwa zinadumu kwa muda mrefu.

Sina hakika na aina za mbao zitumikazo.

Ila naamini huwa zinakuwa ‘treated, kabla hazijatumika kwenye ujenzi.

Na sijawahi kusikia tatizo la mchwa kuzila hizo mbao.

Kuna makampuni mengi sana ya pest control ambayo moja ya kazi yake ni kupambana na mchwa.

Mleta uzi unanikumbusha kipindi nipo newyork,nilikuwa nakaa apartment moja na watu weupe walikuwa wabaguzi wale wewe acha tu...sasa hivi nipo uk angalau kidogo,nataka kwenda Germany sijui napo kuna ubaguzi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni mwaka wa 10 sasa nipo nje ya Tanzania
Ubaguzi Kwa baadhi ya maeneo ni changamoto sana hasa Maeneo ya Asia
Na eastern Europe,

Hasa uturuki nilishangaa sana hata kupanda bus ukiwa mwenyewe mweusi kituoni dereva anaweza akapita,
Urusi ndo nimekaa sana kabla ya kwenda Thailand na mwishowe hapa Finland

Ubaguzi sijui wazungu tuliwakoseaga nini

Britannica

Njoo chalinze tule machungwa acha kulalamikia miji ya watu
 
43 Reactions
Reply
Back
Top Bottom