Naulizia vikombe na visahani vya take away vya plastiki

Naulizia vikombe na visahani vya take away vya plastiki

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
14,740
Reaction score
46,079
Wakuu Salaam!

Napenda kuwauliza wale wenye ufahamu na upatikanaji wa hivyo vikombe na visahani kama containers vya silva vyenye mfuniko wake.

Na pia bei yake Nipo Mwanza
Asante.
 
Wakuu ni material ya disposable containers vinatumika sana kwenye lunchbox.
 
Ungekua dar ningekuelekeza sehemu ila jaribu kwenye maduka ya mapambo ya upambaji
 
Wadau bado sijapata maximum information kuhusu hizi disposal tafadhali kwa mwenye kujua zaidi anifahamishe.


Nashukuru sana Rubi. Kwa mchango wako.
 
Last edited by a moderator:
Wadau bado sijapata maximum information kuhusu hizi disposal tafadhali kwa mwenye kujua zaidi anifahamishe.


Nashukuru sana Rubi. Kwa mchango wako.

Nenda Nakumatt na utakuta disposable za aina mbalimbali na bei tofaut tofaut
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom