Naulizia Nafasi za kujiunga na jeshi

Naulizia Nafasi za kujiunga na jeshi

Mchakato wa recruitment ya new Soldiers utaanza Soon so mpaka amalize atakuta wenziwe wameenda kambini Kwa sasa huwezi kwenda Jeshi lolote bila kupitia J.K.T hii inahusisha Usalama wa Taifa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
jeshini ck iz kumekuwa na siasa hata nafasi wanapeana sioni sababu ya kusema upitie jkt ndo ujiunge na vyombo vingne vya usalama kwan hapo mwanzo jkt aikuwepo siasa tupu...
 
Ndugu,

Naulizia nafasi za kujiunga na jeshi yaani JWTZ au JKT ni lini kuna mtu anamalizia degree yake ya computer science mwaka huu mwezi wa saba anataka kujiunga na jeshi.

Msaada kwa anayejua tafadhali
Kwanza muulize anapendelea kula chakula gani mkuu. Kama ni vihepe mwambie asiwazie kutuma maombi.
 
Back
Top Bottom