Naulizia Nafasi za kujiunga na jeshi

CHEF

JF-Expert Member
Nov 4, 2013
222
122
Ndugu,

Naulizia nafasi za kujiunga na jeshi yaani JWTZ au JKT ni lini kuna mtu anamalizia degree yake ya computer science mwaka huu mwezi wa saba anataka kujiunga na jeshi.

Msaada kwa anayejua tafadhali
 
Mchakato wa recruitment ya new Soldiers utaanza Soon so mpaka amalize atakuta wenziwe wameenda kambini Kwa sasa huwezi kwenda Jeshi lolote bila kupitia J.K.T hii inahusisha Usalama wa Taifa.
 
Mchakato wa recruitment ya new Soldiers utaanza Soon so mpaka amalize atakuta wenziwe wameenda kambini Kwa sasa huwezi kwenda Jeshi lolote bila kupitia J.K.T hii inahusisha Usalama wa Taifa.
asante mkuu
 
Mimi nimepitia j.k.t na nahitaji kujiunga jwtz. Msaada wakuu
Jkt mkataba wako uliisha au bado upo katika kambi za malezi za jkt???Au ulipitia jkt mujibu wa sheria??toa jibu ili tukupe utaratibu ulivyo
 
Ndugu,

Naulizia nafasi za kujiunga na jeshi yaani JWTZ au JKT ni lini kuna mtu anamalizia degree yake ya computer science mwaka huu mwezi wa saba anataka kujiunga na jeshi.

Msaada kwa anayejua tafadhali
SMG azipigwi window
 
arud mtaani kwanza apige degree ya pili "university kitaa" baada ya hapo atapata ajira...nb akumbuke kuna wenzake wana miaka zaid ya 2 mtaani...so its not that easy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom