Sumatra Consumer Consultative Council ilituita kuhudhuria usaili 10th October 2012 siku ya jumamosi ilikuwa, usaili ulifanyika NIT chuo cha usafirishaji D'salaam. Nawaomba wadau wa JF mwenye information kuhusu ile interview.
Kama watu wameshaitwa kazini niondoe mawazo hayo kichwani.
Nafasi ilikuwa moja tu "Office Attendant" but tuliohudhuria usaili tulikuwa zaidi ya 200 kwa nafasi hiyo.
Maana nina wasiwasi, unaweza ukasubiria labda utaitwa kumbe watu tayari wapo kazini siku nyingi tu.