Naulizia ajira zitatoka lini?

Naulizia ajira zitatoka lini?

We si upo kweny ile praise team...kumbe hata ajira huna? Laana hiyo utaongea vizuri we subiri tu
 
Sio kuchemsha boiling, ni kiyafanya ya evaporate .. evaporation.....
Hii kitu nayo inahitaji mtaji mkuu

Mimi nimeona hii nikajua ni simple tu na
Unaweza kutengeneza na cost ni umeme tu au mkaa
IMG_1417.jpg
 
Ni lini serikali kuu itatoa ajira ili vijana tusiiangushe hii serikali maana tumechoka kushauriwa kujiajiri na watu ambao wameajiriwa. Hatuna mitaji tusaidieni vijana tunazidi kuzeeka. Toka tumalize chuo miaka mitano imeisha.
Ungeuliza, Serikali itakuajiri lini? Maana ajira kila mwezi zinatoka, ila sema tu bado hujafanikiwa kuipata
 
Mimi nimeona hii nikajua ni simple tu na
Unaweza kutengeneza na cost ni umeme tu au mkaa
View attachment 1267742
Piga calculations hapo mkuu
Kuyatoa maji yenye chumvi kutokea jotoridi lake let say ni normal environmental temperature ya 28 degree centigrade uyapeleke hadi around 90 degrees centigrade hapa tunaita sensible heat then uyapeleke kwenye latent heat of vaporization hii baba ndo pale yanapoanza ku evaporate nako kuna energy yake

Calculate total joule then convert kwenye kiwango cha umeme KWH au mkaa iliujue utahitaji kiwango gani cha umeme then use your local exchange rate to convert ili ujue kiwango gani cha pesa unahitajika kukitoa
 
Nimekuelewa vizuri
Ila nimeona kwenye YouTube clip zipo nyingi tu
Well ilikuwa ni wazo tu
 
Ajira zinatangazwa kila siku mbona na sio lazima uajiriwe serikalin. Jiongeze mkuu
 
Ni lini serikali kuu itatoa ajira ili vijana tusiiangushe hii serikali maana tumechoka kushauriwa kujiajiri na watu ambao wameajiriwa. Hatuna mitaji tusaidieni vijana tunazidi kuzeeka. Toka tumalize chuo miaka mitano imeisha.
Ulisomea nini? Isije ikawa Archaeology
 
Your not be seriously !!!
Five years ??
Kwani labda unakilema mfano, wenzio wamejiongeza Acha kusubiri chukua hatua now
Kwa nini usiandike kiswahili tu... Your not be serious ndo nini sasa
 
Vijana mnakwama wapi?

Hamjui taifa liko mikononi mwenu?
Na nchi yenu? Nanyi ndo mnaamua hatima ya nchi yenu? Na serikali inatoka kwenu?

Ni lini basi mtazinduka kutoka usingizini na kuacha kulalamika? Sisi babu zenu twalalamika nguvu zimetuishia, nanyi mwalalamika? Kama hamjui nafasi yenu si mfe tu?
Unamaanisha nini?
 
anzaa kidogo kidogo hata tshs 100,000/ zinaweza kukuzalishia millions
 
Back
Top Bottom