Naulizia ajira zitatoka lini?

Vijana mnakwama wapi?

Hamjui taifa liko mikononi mwenu?
Na nchi yenu? Nanyi ndo mnaamua hatima ya nchi yenu? Na serikali inatoka kwenu?

Ni lini basi mtazinduka kutoka usingizini na kuacha kulalamika? Sisi babu zenu twalalamika nguvu zimetuishia, nanyi mwalalamika? Kama hamjui nafasi yenu si mfe tu?
 
Ni lini serikali kuu itatoa ajira ili vijana tusiiangushe hii serikali maana tumechoka kushauriwa kujiajiri na watu ambao wameajiriwa. Hatuna mitaji tusaidieni vijana tunazidi kuzeeka. Toka tumalize chuo miaka mitano imeisha.
Your not be seriously !!!
Five years ??
Kwani labda unakilema mfano, wenzio wamejiongeza Acha kusubiri chukua hatua now
 
Ni lini serikali kuu itatoa ajira ili vijana tusiiangushe hii serikali maana tumechoka kushauriwa kujiajiri na watu ambao wameajiriwa. Hatuna mitaji tusaidieni vijana tunazidi kuzeeka. Toka tumalize chuo miaka mitano imeisha.

Kama tumefikia mpaka kwa makada kuisoma namba, basi shughuli ipo. 🎶🎙📢📯🎙🎹🎸🎷🎧🎤🔔🔉🔊🎺 Ccm ni ile oooh ni ile ileee!!!

Endelea kuvumilia kijana! Mwenyekiti atakapo maliza tu kununua bombadia na dream liner, atakuajiri.
 
Vijana mnakwama wapi?

Hamjui taifa liko mikononi mwenu?
Na nchi yenu? Nanyi ndo mnaamua hatima ya nchi yenu? Na serikali inatoka kwenu?

Ni lini basi mtazinduka kutoka usingizini na kuacha kulalamika? Sisi babu zenu twalalamika nguvu zimetuishia, nanyi mwalalamika? Kama hamjui nafasi yenu si mfe tu?
Baba mbona unatuvunja mioyo?
 
Back
Top Bottom