Nauliza

Nauliza

HARUFU

Platinum Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
31,704
Reaction score
48,140
Nimekuwa nasumbuliwa sana kutaka kufahamu, ngoja nianze na mimi mwenyewe binafsi ni hivi:-
Kabla mama yangu mpendwa hajanileta hapa duniani jee nilikuwa najihisi hisi vipi?

Je nyie wenzangu manaweza nisaidia kutatua hili suala maana mimi nimestukia niko ulimwenguni tayari, sasa nisaidieni kimawazo hata kama mliwahi kusikia unavyojisikia kabla ya kuja hapa ulimwenguni.
 
Mi nlijiskia kama nipo mbinguni hivii yani nilikuwa namshika yesu mkono,yule malaika gabrieli nimemuona,izraeli mtoa roho za watu kumbe anafanana na babu Asprin haki ya nani!!! Nikijiskia kupigana bas nlikuwa narusha ngumi na mateke utaskia mama 'yalaaa we mtoto utaniua !! yan nilikuwa naskia raahaa !!
 
Last edited by a moderator:
ukiamini katika reincarnation utakuwa ni kiumbe kingine kabla hujazaliwa na kuwa HARUFU
 
Wacha weee
 
Nimekuwa nasumbuliwa sana kutaka kufahamu, ngoja nianze na mimi mwenyewe binafsi ni hivi:-
Kabla mama yangu mpendwa hajanileta hapa duniani jee nilikuwa najihisi hisi vipi?

Je nyie wenzangu manaweza nisaidia kutatua hili suala maana mimi nimestukia niko ulimwenguni tayari, sasa nisaidieni kimawazo hata kama mliwahi kusikia unavyojisikia kabla ya kuja hapa ulimwenguni.

mweeeh!!
unaulizaaaaa
 
ukiamini katika reincarnation utakuwa ni kiumbe kingine kabla hujazaliwa na kuwa HARUFU
Mkuu bado hujanisaidia swali langu naomba jibu, sababu nimetatizwa na hii kitu kwa muda mrefu sana na sijapata jibu tuachane na haya mambo ya kusema labda kabla Kiongozi mshanajr hujaletwa hapa ulimwenguni na Mama mpendwa mfano ulikuwa pande nyingine au ulimwengu mwingine tofauti na huu, mimi nisaidie ulijihisi hisi vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom