Nauliza

hahaha Passion Lady nipo machimboni Mwadui, manake hii habari ya kununua dhahabu feki nimechoka nayo nimeingia mzigoni mwenyewe....mambo yako niaje?

mie sijambo,ukitoka huko
nitafute mie wa kwanza nikupokee
mzigo sawa keizar!!
 
Last edited by a moderator:
Mikono yako imemwaga kinywani mwako
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kuniggogle.....niko invisible mbaya......

CC KOKUTONA

Ha ha haa unamrusha roho mbaba... Kaizer umevimisi vya arusha wato wamekuwa wapana hadi hawaonekani....shuti uwamulike kwa tochi

Chezeya ARUSHA.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…