wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,205
Wakuu poleni na mishughuliko ya hapa na pale!mi nilikuwa nauliza tuu hivi ni kwa nini askari polisi kitengo cha F.F.U huwa wanavaaga miwani meusi ile ya kutishatisha???hivi ni kwa nini yaani ukikutana nao hata wakiwa na safari zao unajiskia kukimbia hata kama hauna kosa!!!