Nauliza tuition za sayansi zilizopo Mwenge Dar na bei zake

Iman George

Member
Oct 11, 2016
7
0
Samahani ndugu naulza TUTION zilizopo mwenge dar na bei zake ili niende nikasome ,,,naulizia bei za topic Kama vile

1.mechanics (physics)
2.general chemistry
3.physical chemistry
4.organic chemistry
Samahani ndugu zangu naomba msaada kwa anayejua anayefundisha hzo topics na walimu waliopo pale mwenge na namba zao za simu ,,
 
Naulizia TUTION za masomo ya sayansi maeneo ya mwenge topics nnazotaka kusoma n mechanics kwny physics na generall na physical chemistry////naomba nisaidiwe
 
Kwanza, neno sahihi ni Tuition sio Tution

Pili, unaulizia kama zipo au hazipo, jengo, bei, mwalimu au nini hasa..?
 
Nenda mwenge pale mapambano kuna jembe la fizikia linaitwa MTIGA hakika mechanics utaiyona rahisi xana ila kwa chemistry pale amna mwalimu wa ukwel wote wanababaisha tu
 
Nenda mwenge pale mapambano kuna jembe la fizikia linaitwa MTIGA hakika mechanics utaiyona rahisi xana ila kwa chemistry pale amna mwalimu wa ukwel wote wanababaisha tu
Ilikuwa miaka ya nyuma. Siku hizi anayefundisha Chemistry Mapambano ni Ngaiza, jamaa ni mkali.
 
Back
Top Bottom